Kuna interview moja kwenye Nairobi gubenartorial position walikuwa wagombea kama 16 ulipotangazwa mdahalo wagombea 14 waliingia mitini akaibuka Esther Passaris pekeyake yani hadi incumbent governor aliingia mitini!
Passaris alipoona amezidiwa na Miguna hoja akaanza ad hominem kumbe Miguna naye akamhamishia huko huko ili waende sawa maana mwanzo alimwambia wajadili issues yeye kahamia ad hominem.
Baada ya interview ile mashirikia ya kutetea haki za wanawake yaliingia kati hadi kile kipindi cha Jeff Koinange Live KTN kilifutwa baada ya huu mdahalo wa Miguna Miguna na Esther Passaris
View: https://youtu.be/i2ugfpT8n-g?si=aE4_icQAU2JrQnuQ