Pre GE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

Pre GE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu na Miguna wana uwezo wa asili halafu wamejiongeza kwa kusoma sheria halafu wanafanya mazoezi ya ubishi wa kifalsafa kila siku.

Lissu kabla ya kufanya ubishi kwanza anakuletea ubishi kuhusu mazingira ya kubumishana huo ubishi 😂😂😂.
Watu kama hao inahitaji ujiandae ndio ufanye nao mahojiano au mdahalo check hapo bi mkubwa Margaret Wanjiru alilazwa na viatu.


View: https://youtu.be/8ocdR5IFgVY?si=9o_LdItqS2bQ_XA3
 
Ni utamaduni wa maccm kukacha midahalo
CCM tuna matawi kila mtaa na kila kijiji nchinnxina mdahalo wa nini

Sisi hatuongei maneno tunawaambia wapiga kura angalieni maendeleo tuliyofanya maeneo yenu

Sasa tuende mdahalo kuongea na Lisu ambaye hajafanya maendeleo yeyote kwenye nchi
Hata Mbowe yuko sahihi kutoenda wapiga kura wanamwelewa na ni kipindi cha lala salama kabla ya uchaguxi hana sababu ya kujichosha
 
Eeeeeeeh

Mwaka huu mashabiki aka wanachama aka eafaga mikumbo

Hao watawachezesha danadana hadi mjue mjue tu
🤣🤣🤣🤣🤣

Na badooooooo

Viongozi wenu wanajua drama sanaaaaaa
 

Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili.

Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp namba 0766662533 na waje na vitambulisho vyao, mwisho wa kuingia ukumbini ni saa mbili kamili usiku.

Pia soma: - Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

NB: Mpaka muda huu wagombea waliothibitisha kushiriki mdahalo ni hao wawili wanaonekana pichani, KARIBUNI SANA.
Mbowe mambo kama haya ya kuvuliwa nguo hadharani hayapendi, yeye anataka afuatwe nyumbani kwake na waandishi ambao anawagharamia na kuwalipa posho kisha kuwapangia Maswali gani aulizwe
 
Back
Top Bottom