Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani nani kati yao ataogopa mdahalo?Hilo litabaki kuwa ndoto ila kwamwe halitatokea
MboweUnadhani nani kati yao ataogopa mdahalo?
Mbowe hana hoja wala uwezo wa kumshinda Lissu kwenye mdahalo.Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?
Hata mimi nadhani Lissu atashinda mdahalo, lakini pia nadhani Mbowe hawezi kukubali kufanya mdahalo na Lissu.Mbowe hana hoja wala uwezo wa kumshinda Lissu kwenye mdahalo.
Lissu ana hoja za msingi na uwezo mkubwa zaidi ya Mbiwe wa ku organize mawazo yake kimantiki hapo kwa papo.
Kuna press conference moja kama wiki mbili tatu zilizopita kaanza kuongea Mbowe halafu akaja Lissu, ukiwasikiliza unaona kabisa Lissu ana advantage ya kusoma sheria halafu kamzidi Mbowe kupangilia hoja.
Mbowe mwenyewe kama ana self awareness atakuwa anajua kuwa hawezi kufanya debate na Lissu.
Akikubali nitamshangaa na kumuona hajielewi kabisa.Hata mimi nadhani Lissu atashinda mdahalo, lakini pia nadhani Mbowe hawezi kukubali kufanya mdahalo na Lissu.
Lakini pia kukimbia mdahalo ni kumpa ushindi mpinzani wako kabla ya kupiga kura.Akikubali nitamshangaa na kumuona hajielewi kabisa.
Ukishakuwa na uhakika wa ku control mfumo wa kura mambo ya mdahalo si muhimu. Ndiyo maana CCM wanakataa midahalo.Lakini pia kukimbia mdahalo ni kumpa ushindi mpinzani wako kabla ya kupiga kura.
Hata akikimbia lissu aende kwenye mdahalo maana ni Moja ya sehemu ya kampeni kwake.Lakini pia kukimbia mdahalo ni kumpa ushindi mpinzani wako kabla ya kupiga kura.
Uko sahihi.Mbowe hana hoja wala uwezo wa kumshinda Lissu kwenye mdahalo.
Lissu ana hoja za msingi na uwezo mkubwa zaidi ya Mbowe wa ku organize mawazo yake kimantiki hapo kwa papo.
Kuna press conference moja kama wiki mbili tatu zilizopita kaanza kuongea Mbowe halafu akaja Lissu, ukiwasikiliza unaona kabisa Lissu ana advantage ya kusoma sheria halafu kamzidi Mbowe kupangilia hoja.
Mbowe mwenyewe kama ana self awareness atakuwa anajua kuwa hawezi kufanya debate na Lissu.
Kwani Mbowe amekubali?Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?
Mkuu na wewe uliona tofauti kati ya Mbowe na Lissu pale?Uko sahihi.
Ilikuwa kipindi cha kuongea na waandishi wa habari baada ya kikao cha kamati kuu
TlNaunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?