Mdahalo kati ya Lissu na Mbowe.

Mdahalo kati ya Lissu na Mbowe.

I called for it couple days ago….

IMG_7370.jpeg
 
Ufanye mdahalo na Lissu! Unajipenda wewe?

Jamaa ana kipaji Cha kuongea, Tena Kwa hoja za msingi huwezi kutoboa pale.

Yuko vizuri sana Upstairs
Lissu hata akisimama pekee yake halafu Mbowe kwa upande wake akaleta genge lake lote bado Lissu atawachapa kisawa sawa kwenye mdahalo huo.
 
Labda nchi- uzuri wao Lissu Ana command ya facts na data - hivyo yeyote anayetaka mdahalo- sharti ajipange Kwa namna hiyo…
Ni kweli, Lissu ana kichwa kizuri sana. Kwake hakuna swali gumu hata moja.
 
Mkuu na wewe uliona tofauti kati ya Mbowe na Lissu pale?

Kuna mambo mengine huwa nayaona halafu nafikiri labda ni mimi tu naona, halafu nasikia mtu mwingine kaona vilevile napata kujua kumbe si mimi tu.
Hilo lilikuwa wazi, Mbowe alijibu kila kitu kisiasa lakini Lissu alikuwa anajibu kwa hoja nzito sana tu.

Hebu linganisha hotuba ya Mbowe akitangaza nia pamoja na kujibu kwake maswali.
Na hotuba ya Lissu akitangaza nia na kujibu maswali.

Lissu kila jibu lake ni elimu tosha kwa watu makini
 
Hili jambo nilikuwa naliona sana na nimefurahi sana kusikia watu wengine wanaona hivyo hivyo.
 
Hilo lilikuwa wazi, Mbowe alijibu kila kitu kisiasa lakini Lissu alikuwa anajibu kwa hoja nzito sana tu.

Hebu linganisha hotuba ya Mbowe akitangaza nia pamoja na kujibu kwake maswali.
Na hotuba ya Lissu akitangaza nia na kujibu maswali.

Lissu kila jibu lake ni elimu tosha kwa watu makini
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na asiye mnafiki, hoja za Lissu zina mashiko, zinaingia akilini.
 
Nah. I disagree.

Lissu is grossly overrated.

Huwa anadanganya sana kwenye kauli zake.

Ila kwa vile huwa anaonekana anaongea kwa kujiamini sana, hata akisema uongo ulio dhahiri kabisa, watu mnadhani anatema madini kumbe hamna lolote.

I have never rated him like that.

Leo hii baadhi ya CHADEMA wenzake wanadai eti anasema uongo kwenye baadhi ya kauli alizozitoa.

Ha! Where have they all been?

Now they’re waking up and smelling the coffee?

Baadhi yetu tumekuwa tukilisema hilo kwa muda sasa.

He is no great debater. Just a fair to middling one.
 
Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?
Lissu hajawahi kukimbia mdahalo,pia atashinda huo mdahalo.
 
Mimi ni mchaga kama Mbowe..ila naamini kwamba either Mbowe atakimbia mdahalo au atashindwa kwa kiasi kikubwa.
Pia mimi sio mpinzani , sina mahaba na Lissu pia.
Don’t underestimate Mbowe. He is no slouch.
 
Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?
Utakua mwiba mchungu Sana kwa CCM
 
Mimi ni mchaga kama Mbowe..ila naamini kwamba either Mbowe atakimbia mdahalo au atashindwa kwa kiasi kikubwa.
Pia mimi sio mpinzani , sina mahaba na Lissu pia.
Haha fwala wewe😄
 
Nah. I disagree.

Lissu is grossly overrated.

Huwa anadanganya sana kwenye kauli zake.

Ila kwa vile huwa anaonekana anaongea kwa kujiamini sana, hata akisema uongo ulio dhahiri kabisa, watu mnadhani anatema madini kumbe hamna lolote.

I have never rated him like that.

Leo hii baadhi ya CHADEMA wenzake wanadai eti anasema uongo kwenye baadhi ya kauli alizozitoa.

Ha! Where have they all been?

Now they’re waking up and smelling the coffee?

Baadhi yetu tumekuwa tukilisema hilo kwa muda sasa.

He is no great debater. Just a fair to middling one.
Hakuna mwongo kamq mbowe, kauli ni nyingi mno...lissu is smart
 
Back
Top Bottom