- Thread starter
- #41
Hata akiwepo Bon egg, Kigaila na Mbowe mwenyewe halafu Lissu asimame pekee yake atawabamiza kwa kiwango ambacho hawataamini kabisa.Haahaa mbowe amwite boni yai kumsaidia😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akiwepo Bon egg, Kigaila na Mbowe mwenyewe halafu Lissu asimame pekee yake atawabamiza kwa kiwango ambacho hawataamini kabisa.Haahaa mbowe amwite boni yai kumsaidia😂😂
hakuna haja ya kuenzi utamaduni wa kimagharibi na kuwafurahisha mabwenyenye ya mgharibi...Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?

Vingi Sana mkuu, anasema kwa mfano lissu kuja nchini ni matunda ya maridhiano wakati ilikuwa ni matokeo ya mkutano wa lissu na Samia ulayaMbowe kadanganya nini?
Mkuu,Nah. I disagree.
Lissu is grossly overrated.
Huwa anadanganya sana kwenye kauli zake.
Ila kwa vile huwa anaonekana anaongea kwa kujiamini sana, hata akisema uongo ulio dhahiri kabisa, watu mnadhani anatema madini kumbe hamna lolote.
I have never rated him like that.
Leo hii baadhi ya CHADEMA wenzake wanadai eti anasema uongo kwenye baadhi ya kauli alizozitoa.
Ha! Where have they all been?
Now they’re waking up and smelling the coffee?
Baadhi yetu tumekuwa tukilisema hilo kwa muda sasa.
He is no great debater. Just a fair to middling one.
Lissu kukutana na Samia huko ulaya si sehemu ya maridhiano?Vingi Sana mkuu, anasema kwa mfano lissu kuja nchini ni matunda ya maridhiano wakati ilikuwa ni matokeo ya mkutano wa lissu na Samia ulaya
Siwezi kusema Lissu huwa anadanganya halafu nisiwe na receipts.Mkuu,
Kwenye siasa mambo mengine unaweza kuona anadanganya, kumbe ni suala la interpretation, kuna mambo yako open to interpretation.
Sisemi kuwa Lissu hadanganyi au hana uwezo wa kudanganya, nimeandika hapo juu matatizo ya ku deify, ku lionize na kujenga cult of personality, so I am not about that.
Ila, ukisema Lissu huwa anadanganya, ni muhimu utoe mfano ili watu wauchambue na kuhakiki unaposema alidanganya amedanganya kweli au wewe umetafsiri vibaya tu, au humpendi tu., au mambo yako nuanced tu hayana tafsiri ya moja kwa moja ya kirahisi.
YapLissu hata akisimama pekee yake halafu Mbowe kwa upande wake akaleta genge lake lote bado Lissu atawachapa kisawa sawa kwenye mdahalo huo.
Kwanza kabisa umeandika unaamini, huna uhakika alikuwa anamzungumzia mlinzi gani.Siwezi kusema Lissu huwa anadanganya halafu nisiwe na receipts.
La sivyo, nitakuwa nafanya kile kile ninachomshutumu Tundu Lissu kuwa.
Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?
Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America. Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake...www.jamiiforums.com
Na uzuri wake ni kwamba, hiyo video bado ipo na pa kuanzia kusikiliza/ kutazama alichosema, nilipaweka. Hivyo huhitaji kuangalia video yote.
Kizuri zaidi, Lissu alitoa description nzuri sana ya aliyekuwa anamzungumzia.
I can’t say Lissu lies by me lying on him.
Hapo tayari mmeanza kuufyata mkia. Kwa kifupi, mdahalo unapima uwezo, ukakamavu na umahiri katika kujenga na kusimamia hoja za msingi.hakuna haja ya kuenzi utamaduni wa kimagharibi na kuwafurahisha mabwenyenye ya mgharibi...
wajumbe watasikiliza na kupima uwezo na maelezo ya kila mgombea uongozi chadema na wataamu,
mdahalo hauna maana yoyote. wagombea kujieleza mipango na mikakati yao mbele ya wajumbe inatosha sana ndrugu zangu, huo mdahalo mnajieleza kwa nani kama sio ushirikina huo?
busara imuelekeze mbowe kupuuza mipango isiyo na tija kama hii, ajikite kumobilaize wajumbe hatimae aweze kushinda uchaguzi kwa kishindo na kwa uwazi zaidi![]()
Kutumia neno ‘naamini’ ni suala la semantics tu.Kwanza kabisa umeandika unaamini, huna uhakika alikuwa anamzungumzia mlinzi gani.
Pili, suppose kamaanisha mlinzi huyo ( for immanent critique) kusema mtu anadanganya ni character judgement call, unamaanisha kuwa huyu mtu alikuwa anajua ukweli akaamua kusema uongo. Unajuaje kuwa hapo Tundu Lissu alidanganya na hakukosea tu kwa kuchanganya mafaili au na yeye kurudia maneno aliyokuwa misinformed bila ya kuyahakiki vizuri?
Watu wanaoongea sana in public obviously kuna mambo watakosea kwa kutojua, watarudia maneno ya upotofu bila kujua haya ni maneno ya upotofu, sasa hapo hawajadanganya, wamekosea.
Sasa unahakikishaje hapa kadanganya na hajakosea tu?
Kwanza kabisa umetumia neno naamini kwa sababu hukuwa na uhakika alikuwa anamzungumzia mlinzi gani.Kutumia neno ‘naamini’ ni suala la semantics tu.
Siyo hoja ya msingi kivile unless unataka ku nitpick tu for the sake argument.
Hata ofisi ya Alvin Bragg inaamini Luigi Mangione ndo kamuua Brian Thompson.
So you can have that argument, if you wish.
Wakati Lissu anasema kuwa huyo mlinzi naye kafa, tayari mazishi ya Magufuli yalikuwa yashafanyika huko Chato.
Magufuli alizikwa Machi 26, 2021.
Appearance ya Tundu Lissu kwenye VOA, ilikuwa Machi 31, 2021.
Hapo ni siku 5 nzima zilikuwa zishapita.
Ndo maana watu tulishangaa.
Okay, tuseme labda alichanganya madesa. Fine. It happens. We all mix stuff up sometimes.
Baada ya kuona sintofahamu ya watu kwa nini hakurekebisha maneno yake?
Lissu gave a very clear description of who he was talking about.
Looking at Magufuli’s protective detail, there’s only one guy who fit that description to a tee.
And that guy happened to still be alive and fully participated in laying Magufuli to rest.
Maybe you tell me, who else in Magufuli’s protective detail who fit Lissu’s description?
Lissu never bothered to clear the air, afterwards . He just carried on taking his victory laps for out living the ogre of Chato.
He lied.
Kule CCM usha wahi waambia wafanye mdahaloNaunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?