Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

Niliyoweza kuyagundua;
1. Wote wagombea wako vizuri, wana kitu na wana uchawishi.
2. Msigwa ni mzuri zaidi katika kupangua hoja
3. Sugu ni mzuri zaidi katika kujenga hoja.
Kujenga na kupanga, what is the difference. Nisaidie kwa hilo

Msigwa ni philosopher. And the nation is built by philosophers, philosophical minds, not mechanical minds

Sugu ni mechanical , anafaa sana kuhamasisha single point event, yuko vizuri sana, siyo to lead the state!

Unajenga watu kifkra, wakishajikomboa kifkra kujua zuri na baya, haki zao za msingi, then all will follow. Msigwa yupo izuri sana kwa hilo.

Ndiyo maana mwamposa ana watu wengi, amewajenga kifikra kuwa yeye ni Mtume wa mungu anaeza kufanya miujiza na akawa na talent za ku.train actors, dramatize matukio.....wajinga wanaingia KING (msemo wa vijana wa mjini, wahuni, jobless)
 
Kujenga nakupanga, what is the difference. Nisaidie kwa hilo

Mtaji wa Mwanasiasa ni Maneno na maneno yako kwenye Vitabu
 
Itakuwa wewe ndo msigwa na haujui the meaning of philosopher .

Philosopher is the one who love wisdom , and the one who is logically

Sasa hizo sifa msigwa anazo or you try to manipulate other people's minds.

Ndo maana sugu kamuuliza hilo swali kuwa yeye ni mentor
 
Ni wazi Sugu kamzidi Msigwa kwa hoja na kukontroo paniki.Kama wapiga kura watapima hoja basi Sugu atashinda.
 
Kweli CHADEMA imo moyoni mwa Sugu. Mimi hapa namwombea awe Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa.
 
Nmeipenda sana hii. Iende mpaka ngazi Taifa. Tuachane na uonga wa kukigawa chama fomu moja ni kufifisha demokrasi.
Thubutu, Kikwete alipobanwa waliingia uwanjani wakapora mpira na kuuweka kwapani wakakimbia nao.
 
Back
Top Bottom