Mkuu EMT,
Mtazamo wako kwamba ‘Swali Langu la Pili' Ndio Key Question' – nimependa mtazamo huo, na nakubaliana na wewe; Nadhani Suala la msingi hapa unalojaribu kulieleza ni Kwamba - Watanzania Wapo Katika Hali ya Kutojitambua, na ili waweze kujitambua, ni muhimu kwanza wapitiea Mapinduzi ya Fikra, halafu, ndio mabadiliko mengine yafuate; Je nipo sahihi kwa hili? Kama nipo sahihi, ni wajibu wa nani kuwasaidia wajitambue/wapitie MAPINDUZI YA FIKRA?
Kwa hoja hizi, mwitikio mkubwa wa UMMA kwa M4C tunao uona sasa hautoshi kuelezea Kiu au Nia waliyokuwa nayo watanzania katika kuleta mabadiliko yenye manufaa kwa maisha yao; Na Badala yake, mikusanyiko hii ni sawa na ile ya Misiba ambayo watu wanaenda kujumuika na wenzao kwa uchungu mkubwa kuomboleza tatizo linalowakabili, na baada ya maombolezo ya siku kadhaa kialaiki, taratibu akili uanza kuhamia kwenye matukio mengine, na siku chache baada ya kutawanyika, wanarejea katika hali za maisha yao ya awali, na siku zinasonga mbele. Je katika hili, pia nipo sahihi? Kama nipo sahihi, kwa mtazamo wako, Hali hii itaendelea Mpaka lini na nani anafaidika na hali hii in the Long Run – Chadema au CCM? Again – Long Run.
Mchambuzi, desperation brings actions.. watu wetu wanaweza kuwa katika umaskini lakini bado hawajawa "desperate". Bado hatujafikia kwenye hiyo desperation ambayo in reality ndiyo inasababisha watu waamue kutenda. Sasa hivi tuko kwenye level ya chini sana ambayo ni contemplation.. tunatafakari tunachokiona na tunajaribu ku rationalize. We are trying to make sense of the insensible.
Wanasiasa na wana harakati wetu hawajaweza kuonesha kuwa tuko kwenye 'desperate situation'. Ni kwa sababu hii basi mapinduzi hayawezi kuja au kuletwa kwa sababu we are not in dire situation. Mageuzi yanaweza kuletwa lakini nayo yanakuwa precipitated na kutambua kuwa the 'status quo' CAN NOT and MUST NOT be maintained. So far tunaambiwa the status quo "CAN NOT" be maintained lakini haijajengwa hoja ya uthabiti (a firm argument) ya kwanini 'IT MUST NOT BE MAINTAINED'.
Lakini pia kuna jambo kubwa zaidi; CDM sasa hivi haijajiandaa na haijachukua hatua za kujiandaa kushinda uchaguzi mkuu wa 2015. Huwezi kushinda uchaguzi mkuu kwa kutegemea popular politics peke yake and popular politics enshrined in the personalities of the politicians. Popular politics inayofanyika sasa inahusiana na kuchukia CCM na utawala wake ulioshindwa siyo inayotokana na ajenga ya nini CDM wanataka kufanya. Utaona this is the major elements ambayo is missing na ndio sababu sasa hivi kufikiria CDM inaweza kushinda uchaguzi mkuu wa 2015. Katika uchelewaji huu wa CDM ushindi wa CCM unaweza ukawa mkubwa kidogo kulikow wa 2010. Na wapo watu watakaoshtushwa! Not me of course.
Huu mstari umetulia.Mchambuzi,
..Thank u.
..binafsi nimekuelewa, lakini wasiwasi wangu ni kwa umati wa wa-Tz walioko vijijini ambao ndiyo wanaotakiwa kuya-execute hayo mapinduzi/mageuzi unayoyazungumzia.
..zaidi nakubaliana na wewe kuhusu umuhimu wa wananchi kuweza kutambua na kuwa na uelewa zaidi juu ya HAKI na WAJIBU wao kama raia wa Tanzania.
..mwisho, kuna ulazima wa sisi kama taifa kuamua tunataka kujenga jamii au taifa la namna gani. Horace Kolimba alipozungumzia CCM kukosa dira alikuwa anazungumzia CCM kukiuka misingi ya kuanzishwa kwa chama hicho.
Hapana, hauna matarajio haya.A Movement for Change lengo lake kuu ni kutafuta viti vya ubunge na Urais? Halafu? Kuendeleza mfumo ule ule wa CCM, hasa utekelezaji wa sera za Mageuzi katika nyanja nilizojadili? Je, UMMA ambao mwenzetu Kwame Nkrumah ameujadili nao una mtazamo na matarajio haya?
Arguably those are not the main elements of revolution, those are just some of "Apparatus" of a political revolution (regime change being the result).Rejea matumizi ya MOVEMENT katika mabadiliko; Vile vile rejea themes kuu zinazounda neno mapinduzi - Mass Mobilization, Mass Movement, na Regime Change; Kusema kwamba M4C ina elements za Mapinduzi ni kutokana na hili; Naomba ieleweke kwamba kusema M4C ina elements za mapinduzi haina maana kwamba Chadema inalenga kuleta mapinduzi; Vinginevyo kama nilivyojadili awali, mwenye maamuzi juu ya mbinu za mageuzi ni UMMA kwani UMMA ndio wenye mamlaka ya mwisho juu ya hatima ya taifa, ndio maana nimeona mjadala huu ni muhimu kwani hatujui mwitikio wa UMMA kwa M4C utakuwa na hatima gani, hasa iwapo CCM itashinda 2015
Yes sir!Which means Chadema under M4C wanatafuta kuingia ikulu literally kwenda kufanya kazi na World Bank na IMF kwa mambo yale yale yanayotekelezwa na serikali ya CCM, ila Chadema wao wataenda kuyafanya kwa ufanisi zaidi?
It's actually "CLASS". UMASIKINI IS A RELATIVE TERM. Classes bring injustice which is actually the father of revolution. Injustices in so many ways kama religious,political, economic... etcHaya sio maneno yangu bali ya Mwanafalsafa 'Aristotle', na alichosema ni kwamba: Umaskini ni Mzazi wa Mapinduzi na Uhalifu, na binafsi nakubaliana nae katika hili; ni muhimu pia tukakubaliana kwamba kauli yako kwamba Umaskini Hauleti Mapinduzi ni tofauti na kauli kwamba Umaskini ni Mzazi wa Mapinduzi;
Mkuu situation tuliyonayo ni a desparate one,wananchi hawako desparate kwasababu hawatambui haki zao ama kwa kifupi,hawajitambui.Kwahiyo kama m4c inawapa elimu ya uraia,basi watajitambuwa,na wakishajitambuwa,then watagunduwa kuwa wako desparate.Na wakishagunduwa hivyo,watakuwa desparate for change.Mchambuzi, desperation brings actions.. watu wetu wanaweza kuwa katika umaskini lakini bado hawajawa "desperate". Bado hatujafikia kwenye hiyo desperation ambayo in reality ndiyo inasababisha watu waamue kutenda. Sasa hivi tuko kwenye level ya chini sana ambayo ni contemplation.. tunatafakari tunachokiona na tunajaribu ku rationalize. We are trying to make sense of the insensible.
Wanasiasa na wana harakati wetu hawajaweza kuonesha kuwa tuko kwenye 'desperate situation'. Ni kwa sababu hii basi mapinduzi hayawezi kuja au kuletwa kwa sababu we are not in dire situation. Mageuzi yanaweza kuletwa lakini nayo yanakuwa precipitated na kutambua kuwa the 'status quo' CAN NOT and MUST NOT be maintained. So far tunaambiwa the status quo "CAN NOT" be maintained lakini haijajengwa hoja ya uthabiti (a firm argument) ya kwanini 'IT MUST NOT BE MAINTAINED'.
Lakini pia kuna jambo kubwa zaidi; CDM sasa hivi haijajiandaa na haijachukua hatua za kujiandaa kushinda uchaguzi mkuu wa 2015. Huwezi kushinda uchaguzi mkuu kwa kutegemea popular politics peke yake and popular politics enshrined in the personalities of the politicians. Popular politics inayofanyika sasa inahusiana na kuchukia CCM na utawala wake ulioshindwa siyo inayotokana na ajenga ya nini CDM wanataka kufanya. Utaona this is the major elements ambayo is missing na ndio sababu sasa hivi kufikiria CDM inaweza kushinda uchaguzi mkuu wa 2015. Katika uchelewaji huu wa CDM ushindi wa CCM unaweza ukawa mkubwa kidogo kulikow wa 2010.
Na wapo watu watakaoshtushwa! Not me of course.
Huu mstari umetulia.
Je, bila kupotosha mada, unadhani sisi kama taifa tunataka kujenga jamii ya namna gani? Naona wengi wetu humu jamvini hatuongelei hilo.
Which suggests kwamba Chadema inatafuta ridhaa kwenda Ikulu 2015 kuendeleza sera ziel zile za sasa za CCM chini ya usimamizi wa World Bank na IMF Lakini KWA UFANISI ZAIDI, in belief kwamba tatizo lililopo ni absence ya uwajibikaji, rushwa, ufujaji wa fedha za walipa kodi, huduma duni za kijamii n.k, kwa hoja kwamba matatizo haya - chanzo chake ni kasi ndogo ya utekelezaji wa sera za mageuzi chini ya Serikali ya CCM na kwamba Chadema wataenda kufanya a better job - KIUFANISI;M4C haizungumzii ubadilishaji wa mfumo wa uchumi. Badala yake inazungumzia ubadhirifu wa maliasili zetu, rushwa na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Hii inamaanisha kuwa sera zilizopo hazitekelezeki au hazifai kabisa kuwepo? Whats the alternative?
Swali linalofuata hapa ni je: Iwapo Mlinzi wa M4C ni UMMA, je, ulinzi huu upo based on imani gani?Na mkizungumzia kuwa bora tu CCM iondoke madarakani, unafikiri hiyo line inarindima miongoni mwa wananchi? Keeping in mind that a poor soul can easily be corrupted (Pilau, kapelo na khanga).
It's actually "CLASS". UMASIKINI IS A RELATIVE TERM. Classes bring injustice which is actually the father of revolution. Injustices in so many ways kama religious,political, economic... etc
Hivi mkuu kuna poverty bila classes?Ningependa kupata mfano hai wa poverty without class.Mimi nadhani poverty and crime ni matokeo ya classes.Na classes brings about injustice.Which means you would rather argue kwamba the Parent of Revolution is Injustice, contrary to Aristotle's view kwamba The Parent of Revolution is Poverty and Crime; Thats's interesting; na katika hili, whats your view:
Poverty is an outcome of injustice OR injustice is an outcome of poverty;
Hivi mkuu kuna poverty bila classes?Ningependa kupata mfano hai wa poverty wothout class.Mimi nadhani poverty and crime ni matokeo ya classes.
POVERTY IS AN OUTCOME OF INJUSTICE..... but poverty is a relative term, though is an outcome of injustice.Which means you would rather argue kwamba the Parent of Revolution is Injustice, contrary to Aristotle's view kwamba The Parent of Revolution is Poverty and Crime; Thats's interesting; na katika hili, whats your view:
Poverty is an outcome of injustice OR injustice is an outcome of poverty;
POVERTY IS AN OUTCOME OF INJUSTICE..... but poverty is a relative term, though is an outcome of injustice.
Aristotle's view is obsolete, but can be used as a talking point. So is Karl Marx's view.
I think to understand the forces behind a political revolution (not a selfish coup by a nobility esp. the "guns") it's better to break down the father of all modern revolutions... The French Revolution.
You have to bear in mind kwamba kuna tofauti kubwa baina ya Political revolutions na Social Revolutions, the former mara nyingi leaves mfumo uliopo intact, huku the later mara nyingi hupelekea mfumo mpya; French revolution was more of a political revolution ambapo mfumo wa mahusiano katika uzalishaji mali na umiliki wa mali haukuguswa sana; wakati Social Revolutions ni kama zile zilizotokea Russia, China, Cuba n.k ambazo ziliambatana na a complete overturn ya mfumo za uzalishaji, usambazaji wa mitaji, mazao, na vile vile mahusiano katika umiliki wa mali;The burgeouse and the peasants revolted against the Noble and the clergy. Simply because there was injustice among classes. The burgeouse i.e Bankers, intellectuals, merchants etc ... some of which were extremely rich compared to some members of the noble class eg. the guns collaborated with the peasants.
So actually, poverty is not the common denominator.
Nitajaribu kufafanua kwa urahisi if possible.Ukitaja poverty,tayari ni class kwasababu the other side is either rich or middle class,hence classes.Nikiwa na maana kuwa inside classes,is where you find poverty,middle class,and rich.So you can see which begins,ndo maana nikasema there isn't poverty without classes.Na classes zinatokana na injustices kama sijakosea.Sidhani kama nina majibu sahihi juu ya hili, sana sana itakuwa ni maoni yangu tu; Kwanza, class au tabaka ni kitu gani? Maana rahisi ya dhana hii ni kundi la watu/au sehemu fulani ya jamii that enjoys or rather lives under the same social and economic status; ni kawaida katika jamii kwa matabaka kugawanyika katika sehemu kuu tatu, huku kila class iki enjo more economic, social, educational and intellectual status kuliko ya chini yake: The Rich, Middle Class and the Poor; kwa maana hii, Poverty exists in Classes; na kuna mobility between these three classes, as one doesnt have to neccesarily stay in one class for life; that is the essence of Capitalism; hasa kwenye nchi ambazo mfumo wake haujengi class barriers, suala ambalo katika jamii yetu ni the opposite kwani not each Tanzanian is free to succeed and achieve a better living bali the few privileged and the few crooks;
Lakini suala kwamba Poverty & Crime ni matokeo ya Classes sina uhakika na hilo; unaposema matokeo, unaweza kufafanua kidogo mkuu? Vinginevyo Capitalism is a class based system, and class determined economic and social status, hence poverty, but i am not certain if classes PER SE, produces poverty, unless ni kwenye jamii zenye cast system etc...
Sijui atakachojibu Kobelo,lakini nadhani we tackle injustices to eliminate poverty.And when one argues kwamba fighting poverty is fighting injustice or Poverty is injustice, is it based on the premise that poverty is an outcome of injustice?
I beg to differ na wewe on this one kwa sababu zifuatazo:
Kwanza, you can not dismiss Marxism's role in revolutions, especially in the context of the current global capitalist system whereby kuna almost a permanent positioning of participants ambapo wapo participants in the centre and wengine in the periphery huku wale in the centre calling shots; in the periphery wapo ni poor countries, centre wapo rich countries; ndio maana sio mapinduzi tu, bali harakati zote za ukombozi kuanzia zile ya 1950s pamoja na suala zima la Neo - Colonialism lina so much Marxism in it, ndio maana the Centre Players in the system wanajaribu kila njia ya kuhakikisha kwamba Ubepari and its fundamentals stay intact, huku wakiaminisha kwamba the only way out of poverty ni kupitia REFORMS, sio REVOLUTIONS; Marekani kwa mfano hawakupenda revolution ya Misri kwa sababu it was a threat to what's theirs, na ndio maana kwenye suala la Libya, wakaingia upesi sana to determine the fate of that uprising;
Pili ni kuhusu the French revolution where you argue kwamba:
You have to bear in mind kwamba kuna tofauti kubwa baina ya Political revolutions na Social Revolutions, the former mara nyingi leaves mfumo uliopo intact, huku the later mara nyingi hupelekea mfumo mpya; French revolution was more of a political revolution ambapo mfumo wa mahusiano katika uzalishaji mali na umiliki wa mali haukuguswa sana; wakati Social Revolutions ni kama zile zilizotokea Russia, China, Cuba n.k ambazo ziliambatana na a complete overturn ya mfumo za uzalishaji, usambazaji wa mitaji, mazao, na vile vile mahusiano katika umiliki wa mali;
Do you tackle poverty to eradicate injustices or tackle injustice to eradicate poverty; Which side of the debate would you pick;
Nitajaribu kufafanua kwa urahisi if possible.Ukitaja poverty,tayari ni class kwasababu the other side is either rich or middle class,hence classes.Nikiwa na maana kuwa inside classes,is where you find poverty,middle class,and rich.So you can see which begins,ndo maana nikasema there isn't poverty without classes.Na classes zinatokana na injustices kama sijakosea.