Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,513
TUNDU LISSU anafanya “mdahalo” na Rais wa Ghana kwa kidhugu

DUA bringing over 28 influential political parties across the continent to engage on the future of Democracy and Socio Economic Growth. Ideological clarity and Policy is key in delivering a future for Africans

1601007962848.png
 
Safi sana Rais tunayemtaka lazima awe na uwezo mkubwa kiupeo kuhusu maswala ya kimataifa sasa midahalo kama hii inatoa fursa ya kuona uwezo wake JPM alipaswa na yeye aitumie fursa hii
 
Heshima ya Tanzania kimataifa inaelekea kurudi kama enzi za Julius Nyerere.
Haya mambo ya "pipo yuzidi to die in ze reki ..." yatabaki historia ya uchungu tuu mioyoni mwetu watanzania.
Lakini ni kama 28/10 tutafanya maamuzi sahihi kama waelewa
 
Huku mtaani ninaoongea nao wote wanasema mradi kura zao zilindwe tu lakini wanaona mwanga wa maisha kwa Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom