Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Tulieni dawa iwaingie. Hizo 15% ni za magufuli
 

Attachments

  • 2528095_Tundu_Lissu_ni_Mshindi__Askofu.mp4
    18.7 MB
Kule Uganda muandishi wa The Reuters aliuliza swali ilibidi Museveni alitafune kwanza ndiyo tuliweza kulimeza.
Kama kujua Kiingereza ndiyo ibgekuwa maendeleo basi China na nchi nyingi zilizo endelea kama Germany zisinge piga hatua kwenye technic.

Wajerumani kama wachina wanatumia lugha zao hata kwenye technic na ndiyo maana qana leid kwenye nyanja hizo.

Wakenya, Zambia na Zimbabwe ambazo zinatumia kiingereza ukiangalia pamoja na kiingereza chao nchi zao hata hivyo zimeuzwa. Sisi pamoja na kuwa hatujui kiinhereza bado hatujaiuza nchi yetu.
Sababu iliyo tufanya sisi mpaka sasa hivi nchi yetu tusiiuze ni Lugha yeru.

Mabeberu wameshindwa kutulaghai sisi kwa sababu hawajui kuzungumza lugha yetu na wakija na english sisi harujui kwa hiyo hakuna makubaliano. Hiyo ni faida kweru.

Kumchagua Lissu na wengine ni sawa na kuiuza nchi yetu kwa mabeberu na sawa na kurudi nyuma kwenye kuwa tegemezi qa mabeberu. Hiyo ina leta implication ya kuwa ubabe na fujo nyingi za kijambazi na watu kuuana kwa ajili ardhi na mengineyo utatamalaki.

Vijana msifikiri kuna neema inakuja. Tanzania itakuwa tena nchi ya chaos na kila mtu atajiamlia kufanya mambo anayo yataka na hivyo kutoa mwanya kwa wenye pesa ambao wengi wao ni watu kutoka nje kunyakua rasilimali zetu na kuwaacha masikini kutaabika.

Mvumilieni Magufuli huyu ndiye mtu pekee atakaye tuvusha. Msifanye makosa ya Wayahudi kumsulubu Yesu na walibya kumwua Gadafi. Wanao tabika hivi sasa ni wale walio piga kelele za kuwaondoa hao viongozi wao.

NEEMA HAIJI KWA KUWA WAZEMBE. NEEMA INALETWA NA BIDII YA KUFANYA KAZI. BILA BIDII YA KAZI HAKUNA NEEMA.KUMCHAGUA LISSU NI KULETA UTEGEMEZI NA UMASIKINI NCHINI.
NINA NAWAAMBIA VIJANA, ANGALIENI!
 
Nadhani jamaa wa chato atashinda chumbani leo hatoki😂😂😂
.... halafu UN General Assembly nadhani inaendelea; alipaswa awe live na viongozi wenzie wa dunia kujadili mambo mbali mbali ya dunia; kuisemea na kuitetea nchi yetu katika issues mbali mbali za kimataifa. Mkutano unafanyika on-line kisingizio cha sijui gharama za safari, n.k. hakipaswi kuwepo tena kama ilivyozoeleka.
 
Hata
Hata Geita na Mwanza yote wampigie kura Lissu hatakaa awe Raisi wa nchii hii(Tanzania). NEVER.
Bro ,hii ngoma hujaijua Ila Jiwe ameitambua kwa matendo yake kwa miaka mitano ya utawala wake. Hapa Kuna box la kura jumlisha na The Hague , ngoma inapigwa peupe mchana .kuwa mpole .
 
TUNDU LISSU anafanya “mdahalo” na Rais wa Ghana kwa kidhugu

DUA bringing over 28 influential political parties across the continent to engage on the future of Democracy and Socio Economic Growth. Ideological clarity and Policy is key in delivering a future for Africans.
View attachment 1580022
Yuko wapi mgombea wa nyinyiemu na maganda yake ya Korosho jamani
 
Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
akipata 15% we inakuuma nini
 
Back
Top Bottom