Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Lisu hawezi kuwa rais hadi anaingia kaburiniKwa hiyo wewe tuu na mumeo ukipiga kwa JPM atakua raisi? Kura ya veto mumepewa na nani? Wacheni kuwafanya wajinga
Lisu hawezi kuwa rais hadi anaingia kaburiniKwa hiyo wewe tuu na mumeo ukipiga kwa JPM atakua raisi? Kura ya veto mumepewa na nani? Wacheni kuwafanya wajinga
Ila we jamaa haahaaa wati izi goingi zea zea am komfyuzingiPipo yuzi tu dai ini dhe.. ini dhe reki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unajifariji baada ya sindano za kukataliwa kwa bwana yule wa mbogamboga huko kwao licha ya matangazo ya kuwataka watu wakaidi mkutano.Hata ukapige kura wewe,ukoo wako wote na unaowajua wote. Shawishi mkoa wako wote unapotokea wampigie kura Lissu, hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu ni NEVER (Kamwe). Nchi hawezi kabidhiwa kibaraka wa wazungu. NEVER. So JPM atashinda by all means necessary.
... umerudi duniani jana au? Mbona unauliza mambo yaliyo wazi? "Nani"? Kuna nani zaidi?Ni nani aliyatamka haya?
Hii ndio lugha ya kujifariji mliyobakiza baada ya mbinu zote kushindwa.poleni Ila vumilieni tuLisu hawezi kuwa rais hadi anaingia kaburini
Si nilisikia Ras Simba alijitolea kumpika? Kwani ilishindikana? Basi atakuwa na kichwa cha panzi!Hapo tatizo ni lugha. Jiwe kidhunghu hakipandi
Pumbavu sana ww na ukoo wako shame on youChukua man
Chukua maneno yangu au yaache Lissu hawezi kuwa Raisi wa nchi hii, hii ni Tanzania na sio Congo,Mali au Malawi. Muda ukifika mtaelewa tu. CCM inafanya kampeni kuongeza kura na kukamilisha ratiba Ila JPM lazima ashinde tu. Hutaki acha.
Si nilisikia Ras Simba alijitolea kumpika? Kwani ilishindikana? Basi atakuwa na kichwa cha panzi!Hapo tatizo ni lugha. Jiwe kidhunghu hakipandi
nimeshindwa kuunga maneno nisaidie "Pipo yuzid to dai in ze reki" .. People used today in the ..nashindwaMbavu zangu eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lisu urais atausikia kupitia jfHii ndio lugha ya kujifariji mliyobakiza baada ya mbinu zote kushindwa.poleni Ila vumilieni tu
[emoji3][emoji3][emoji3] Hiyo sio kweli ni good Management.Rais inatakiwa uwe na uwezo mkubwa wa ku 'interact ' na marais wenzako duniani.Tundu Lissu amefaulu kwa hili.
Dragon JawzLisu urais atausikia kupitia jf
Tanzania ya sasa hatutaki maneno na theory za kukariri maelekezo na tafsili za wazungu, hayo tumeyafanya sana tangia enzi za Nyerere na Mkapa! Tunachohitaji sasa ni mtu atakaye translate hivyo vyote katika matendo na vitu, kuleta maendeleo ya watu.Safi sana Rais tunayemtaka lazima awe na uwezo mkubwa kiupeo kuhusu maswala ya kimataifa sasa midahalo kama hii inatoa fursa ya kuona uwezo wake JPM alipaswa na yeye aitumie fursa hii
Hahahaha naona ushapaniki MatagaKulikuwa na ulazima gani kumtaja Magufuli? Tumia akili
Leo Mgombea wenu atakuwa pande zipi?Lisu asipoongea kingereza lugha ya mkoloni midomo huwa inamuwasha .Mwache akabwabwaje huko kupoteza muda sisi CCM tunaendelea na kampeni zetu
Acha kumlinganisha Lissu na vitu vya ajabu.Lisu ni level ya Ndugai!
Leo hana .Ratiba ya NEC aliyopangiwa hana leoLeo Mgombea wenu atakuwa pande zipi?
Wewe wasema ila Mungu ameshasema, Tundu Antiphas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020- 2025