Unamaanisha wanaopiga kura ni wapumbavu kiasi cha kutojua kipi kilicho bora?
Mbona unawatukana waunga mkono ccm?
Dah aisee hii si sawa😄Pipo yuzi tu dai ini dhe.. ini dhe reki😂😂😂😂😂😂
Acha wehu we dada! Unayodanganyana na mumeo usituletee hapa. Kwa taarifa yako ndani ya CCM hivi sasa wana haha wanajua kura za kutosha hawapati, wakiiba wanajua Lissu ni namba nyingine hawezi kukubali na madhara yake ni kuja kunyea ndoo The Hague.Hata ukapige kura wewe,ukoo wako wote na unaowajua wote. Shawishi mkoa wako wote unapotokea wampigie kura Lissu, hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu ni NEVER(Kamwe). Nchi hawezi kabidhiwa kibaraka wa wazungu. NEVER. So JPM atashinda by all means necessary.
Mpigeni tena marisasi ili arudi tena kwa mabeberu,nyie ndo mlifanya akajikuta huko kwa mabeberu ..Ameonyesha dalili mbaya sana za kulivunjavunja taifa , kuligawa vipande vipande,na baadaye kuliuza kwa wageni.
Hii ni offside game. Hanachake arudi huko huko kwa Wabepari wake.
Imenikumbusha wakati korona imechachamaa, vimikutano kama hivi navyo vilipamba moto ukanda huu.Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Magu anatakiwa kuwa wazi tu kwamba kizungu hakipandi kwa hiyo popote awe na mkalimani Ila kujitutumua ndo mwisho unaongea maboko na kuaibisha nchi na kujiaibisha mwenyeweKule Uganda muandishi wa The Reuters aliuliza swali ilibidi Museveni alitafune kwanza ndiyo tuliweza kulimeza.
Jiwe na kisuku-kiswa-kinge chake nani atamuelewa kwenye midahalo mikubwa kama hii?Marais wawili wataongea✌✌✌
Jiwe ategemee kubebwa tu!Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Kwahiyo Lisu ni bora kuliko nani?Unamaanisha wanaopiga kura ni wapumbavu kiasi cha kutojua kipi kilicho bora?
Mbona unawatukana waunga mkono ccm?
Lazima waendeshwe na mzungu - lazimaTUNDU LISSU anafanya “mdahalo” na Rais wa Ghana kwa kidhugu
DUA bringing over 28 influential political parties across the continent to engage on the future of Democracy and Socio Economic Growth. Ideological clarity and Policy is key in delivering a future for Africans.
View attachment 1580022
Pipo yuzi tu dai ini dhe.. ini dhe reki😂😂😂😂😂😂
Hizi ni Lugha za kujifariji na kujikakamua,Safari hii pindisheni matokea Kama hamjatafuta mashimo ya panya kujifichaHata
Hata Geita na Mwanza yote wampigie kura Lissu hatakaa awe Raisi wa nchii hii(Tanzania). NEVER.
Amasubiri kuapishwa! Yuko ikulu anaendelea na majukumuLeo mzee yuko pande zipi au anaendelea na lockdown.