Lisu ni level ya Ndugai!Huku mtaani ninaoongea nao wote wanasema mradi kura zao zilindwe tu lakini wanaona mwanga wa maisha kwa Tundu Lissu
Lisu asipoongea kingereza lugha ya mkoloni midomo huwa inamuwasha .Mwache akabwabwaje huko kupoteza muda sisi CCM tunaendelea na kampeni zetuNdo maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Unamaanisha wanaopiga kura ni wapumbavu kiasi cha kutojua kipi kilicho bora?Ndo maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Mkuu oktoba ni muda mzuri. Weka na maneno ya akiba. Ninyi dawa yenu ni ndogo tu inabidiki katiba yetu iwe miaka 20Tundu Lissu ni level nyingine kabisa
Acha matusi wewe! Unawezaje kulinganisha mtu mashuhuri na mnyama?Lisu ni level ya Ndugai!
Hata ukapige kura wewe,ukoo wako wote na unaowajua wote. Shawishi mkoa wako wote unapotokea wampigie kura Lissu, hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu ni NEVER(Kamwe). Nchi hawezi kabidhiwa kibaraka wa wazungu. NEVER. So JPM atashinda by all means necessary.Unamaanisha wanaopiga kura ni wapumbavu kiasi cha kutojua kipi kilicho bora?
Mbona unawatukana waunga mkono ccm?
Hata kwa kuiba mkuu,Hata ukapige kura wewe,ukoo wako wote na unaowajua wote. Shawishi mkoa wako wote unapotokea wampigie kura Lissu, hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu ni NEVER(Kamwe). Nchi hawezi kabidhiwa kibaraka wa wazungu. NEVER. So JPM atashinda by all means necessary.
Leo mzee yuko pande zipi au anaendelea na lockdown.Lisu asipoongea kingereza lugha ya mkoloni midomo huwa inamuwasha .Mwache akabwabwaje huko kupoteza muda sisi CCM tunaendelea na kampeni zetu
Kwa hiyo wewe tuu na mumeo ukipiga kwa JPM atakua raisi? Kura ya veto mumepewa na nani? Wacheni kuwafanya wajingaHata ukapige kura wewe,ukoo wako wote na unaowajua wote. Shawishi mkoa wako wote unapotokea wampigie kura Lissu, hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu ni NEVER(Kamwe). Nchi hawezi kabidhiwa kibaraka wa wazungu. NEVER. So JPM atashinda by all means necessary.
Hata kiswahili pia hakipandi .Hapo tatizo ni lugha. Jiwe kidhunghu hakipandi
Naona mmekuja na style ya kukopi na kupaste comment baada ya kukata pumziHata ukapige kura wewe,ukoo wako wote na unaowajua wote. Shawishi mkoa wako wote unapotokea wampigie kura Lissu, hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu ni NEVER(Kamwe). Nchi hawezi kabidhiwa kibaraka wa wazungu. NEVER. So JPM atashinda by all means necessary.
Chukua maneno yangu au yaache Lissu hawezi kuwa Raisi wa nchi hii, hii ni Tanzania na sio Congo,Mali au Malawi. Muda ukifika mtaelewa tu. CCM inafanya kampeni kuongeza kura na kukamilisha ratiba Ila JPM lazima ashinde tu. Hutaki acha.Kwa hiyo wewe tuu na mumeo ukipiga kwa JPM atakua raisi? Kura ya veto mumepewa na nani? Wacheni kuwafanya wajinga
Hatuna pumzi ya mitandaoni, tupo field kusett mikakati nyie anzisheni threads weeeee, mkijakujikuta Lissu ana 4% na wabunge watatu ndo mtachoka.Naona mmekuja na style ya kukopi na kupaste comment baada ya kukata pumzi
Endeleeni na field huko huko,huku mitandaoni mtakuwa mnajidhalilisha tu nyie na familia zenu.Hatuna pumzi ya mitandaoni, tupo field kusett mikakati nyie anzisheni threads weeeee, mkijakujikuta Lissu ana 4% na wabunge watatu ndo mtachoka.