Hakuna kumpa nafasi ya cheap publicity huyu zwazwa. Wapambe wake mnafanya juhudi kubwa kumtafutia nafasi ya bure ya kusikilizwa na watu wengi, CCM wasikubali kabisa hili.
Kwanza, hana sera: tunachosikia kwenye mikutano yake ni matusi tu, kubeza, kulalamika, na kulialia. Pili, hana hekima ya kujadiliana naye kitu cha maana: anaweza kuamua kumtukana rais wetu akiwa live kwenye tv. Hana cha kupoteza.
Tatu, anaweza kuamua kutangaza na kutetea ushoga wake wakati tunaangalia tv na watoto wetu!
Aachwe tu apambane na hali yake.