Habari wadau..!
kwenye mdahalo wa leo wa maadhimisho ya miaka 44 ya CCM kama sijawaelewa vile Mzee Butiku na Mama Anna Makinda .
Hususa kwenye swala la mfumo wa elimu wameonekana wazi wakibeza mfumo wa elimu wa ss na kuwabeza wasomi wetu ,kana kwamba hawakuwapo kipindi chote .
Mzee Butiku anasisitiza kwamba swala la elimu linahitaji mjadala wa kitaifa je ni mjadala gani huo????
Mm nikiwa kama msomi sitaki kuamini anachokisema mzee Butiku wasomi ni wengi ila naona wahandisi na wanasayansi ndio tunabezwa sana hapa kwenye huu mjadala .