Uchaguzi 2020 MDAHALO: Mtoto amelilia wembe, CCM mpeni

Habari wadau..!
kwenye mdahalo wa leo wa maadhimisho ya miaka 44 ya CCM kama sijawaelewa vile Mzee Butiku na Mama Anna Makinda .

Hususa kwenye swala la mfumo wa elimu wameonekana wazi wakibeza mfumo wa elimu wa ss na kuwabeza wasomi wetu ,kana kwamba hawakuwapo kipindi chote .

Mzee Butiku anasisitiza kwamba swala la elimu linahitaji mjadala wa kitaifa je ni mjadala gani huo????

Mm nikiwa kama msomi sitaki kuamini anachokisema mzee Butiku wasomi ni wengi ila naona wahandisi na wanasayansi ndio tunabezwa sana hapa kwenye huu mjadala .
Wazee hawa wanataka kuona elimu waliyosoma wao kana kwamba ndiyo ilikuwa bora sana
 
Wamezeeka haoooo
Hao ndo walisoma Elimu bora na kuelimika, mmoja akaja kuwa Katibu wa Rais na mwingine akawa Spika wa Bunge la mwisho Tukufu kabla ya kushikwa na vijana vilaza waliosoma bora elimu ya kusoma na kuandika na kuokoteza PhD za jalalani. Kosa la wazee bado wako CCM!
 
Lazima usiwaelewe kama wewe ni mpinzani, huo mdahalo ulikuwa unawahusu CCM they were free to talk about whatever nonsense they wanted, sasa umejichanganya kwenye nyumba ya watu umekuta wao wakila hawanawi mikono unaanza kuwashangaa, pole zako.
 
Mzee Butiku anazungumzia ujamaa leo? anakomaa eti wote ni sawa kweli? eti ujamaa....wasiotaka wahame chama,nakwambia mzee chama hatuami na ujamaa ulishafeli kabisa.
 
Jiulize tu.., are we better now ?, and if not why ?, Kama so called wasomi wameongezeka ni mawili huenda hawajali / hawaisaidii au wanachokisoma is not fit for purpose..., sababu rate yao ya kuongezeka haiendani na rate ya kusaidia sisi kama binadamu kuyamudu mazingira yetu...

Au maybe kama jamii hatujui faida ya kusoma au tunasoma ili iweje, by the way nini maana ya msomi (sababu unaweza ukawa muelewa na haujasoma)... na uchambuzi / thinking capacity ni tabia inayojengwa na individual mwenyewe, kama kuanzia asubuhi mpaka jioni unawaza jinsi ya kubomoa sidhani kama unaweza kujenga....
 
Mzee Butiku alianza kuchangia vizuri lakini mwisho akaanza kuingia chaka,nashukuru bora amekiri kwamba siku hz yy ni mzee anaongea ongea tu😂😂😂😂

Sasa kama amekiri yeye ni mzee na anaongea ongea tu, unasemaje mwanzo alichangia vizuri kisha akamalizia vibaya? Au hapo mwanzo alichangia ulichopenda, ila alipoongea usichokipenda ndio akawa kaingia chaka? Sema mwanzo alisema nini, maana sio wote tunaangalia hiyo TV ya propaganda.
 
Habari wadau..!
kwenye mdahalo wa leo wa maadhimisho ya miaka 44 ya CCM kama sijawaelewa vile Mzee Butiku na Mama Anna Makinda .

Hususa kwenye swala la mfumo wa elimu wameonekana wazi wakibeza mfumo wa elimu wa ss na kuwabeza wasomi wetu ,kana kwamba hawakuwapo kipindi chote .

Mzee Butiku anasisitiza kwamba swala la elimu linahitaji mjadala wa kitaifa je ni mjadala gani huo????

Mm nikiwa kama msomi sitaki kuamini anachokisema mzee Butiku wasomi ni wengi ila naona wahandisi na wanasayansi ndio tunabezwa sana hapa kwenye huu mjadala .
Wazee wa hovyo hovyo na wanafiki tu hao, walikuwa wapi pindi wapo katika decision making
 
Habari wadau..!
kwenye mdahalo wa leo wa maadhimisho ya miaka 44 ya CCM kama sijawaelewa vile Mzee Butiku na Mama Anna Makinda .

Hususa kwenye swala la mfumo wa elimu wameonekana wazi wakibeza mfumo wa elimu wa ss na kuwabeza wasomi wetu ,kana kwamba hawakuwapo kipindi chote .

Mzee Butiku anasisitiza kwamba swala la elimu linahitaji mjadala wa kitaifa je ni mjadala gani huo????

Mm nikiwa kama msomi sitaki kuamini anachokisema mzee Butiku wasomi ni wengi ila naona wahandisi na wanasayansi ndio tunabezwa sana hapa kwenye huu mjadala .
Nchini kwetu tunafanya vioja sana mtu akipewa madaraka uanza kuponda mfumo wetu na elimu na yeye kujifanya yuko vizuri sana kitaaluma u wakati amepitia na kusomeshwa na mfumo huo huo. Na hii ya kutojitambua baada ya kupata madaraka ndiyo inasababisha kutoweza kufanya maboresho maana mtu akishakuwa Katibu Mkuu au Waziri anaona yeye sio zao au sehumu ya mfumo wetu wa elimu🎃🎃
 
Habari wadau..!
kwenye mdahalo wa leo wa maadhimisho ya miaka 44 ya CCM kama sijawaelewa vile Mzee Butiku na Mama Anna Makinda .

Hususa kwenye swala la mfumo wa elimu wameonekana wazi wakibeza mfumo wa elimu wa ss na kuwabeza wasomi wetu ,kana kwamba hawakuwapo kipindi chote .

Mzee Butiku anasisitiza kwamba swala la elimu linahitaji mjadala wa kitaifa je ni mjadala gani huo????

Mm nikiwa kama msomi sitaki kuamini anachokisema mzee Butiku wasomi ni wengi ila naona wahandisi na wanasayansi ndio tunabezwa sana hapa kwenye huu mjadala .
Maisha ya Butiku yanategemea porojo za mdomo wake , anaishi hivyo kwa muda wote , hajawahi kulima hata matuta mawili ya mihogo
 
Back
Top Bottom