Uchaguzi 2020 MDAHALO: Mtoto amelilia wembe, CCM mpeni

Wasomi ni wengi sana, ila wanaoibuka kidedea si wasomi! Chuo kikuu DSM kina idara ya Sana'a na muziki, njoni hapa tuwaone. Wanaotengeneza mitambo na vifaa mbalimbali ya kilimo na nishati hatuwaoni, njoni hapa.
Ni kitu gani ambacho wasomi wetu watajivunia kwenye maendeleo ya uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…