The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Well, Kuzungumza sio kuongoza... kuongoza ni zaidi ya kuwa na nia... kama kuna mtu alikuwa na nia nzuri huku duniani alikuwa JK 2005... but you all know....
Kuna mengi sana ameyajibu vizuri kama debate lakini practically mmhhh... only people who know how to lead will understand... otherwise washabiki wa JK in 2005 they have just got another one to shabikia...
ASANTE gq NA mm! Tupo Ughaibuni lakini tunamsikia
We si leta? unasubiri nani akuletee? Alafu huyo ni msomi bwana. Sio kama Jakaya...... Aiseeeeeukiona jf wamewacha kupost kupitia you tube huu mdahalo wa slaa ujue slaa ameboronga sana!!!
Mie nimefurahia jinsi Dokta alivyokuwa anatoa Broad issues kuelezea vision yake.
Ni tofauti na ukimsikiliza Mkwere, yeye anatumia muda wote kudanganyia project ndogondogo ntaleta bomba la maji, ntaleta meli, ntajenga zahanati. Mambo hayo si issues za kampeni ya urais, ni mambo ya bajeti.
Dokta amenikumbusha zile kampeni za akina Obama, na juzijuzi za kina Cameron an Cleg. Tunataka hivyo Mgombea Urais tupe vision yako.
Well done Dokta, umevuna kura nyingi leo!!!
We si leta? unasubiri nani akuletee? Alafu huyo ni msomi bwana. Sio kama Jakaya...... Aiseeeee
:frusty😀uhh! Wadau wengi wa jamii forum naona wako nje ya nchi sasa nani atapiga kura?:smash:
Any update?
Nipo ukumbini hapa DR SLAA na Mbowe wameshaingia Hotelini pamoja na viongozi wengine wa chadema kama Kitila Mkumbo na Mabele Marando maandalizi yanaenda vizuri kwa walinzi kukagua vitu kadhaa vya kiusalama; mafundi wa ITV wakijaribu mitambo yao pamoja na maongezi ya hapa na pale.
Hapo nje kuna T-shirts za Dr Slaa, ilani ya CHADEMA pamoja na vitabu kadhaa vilivyoandikwa na vijana vinavyohusu maisha ya Dr Slaa pamoja na kingine kinachojaribu kumfananisha Dr Slaa na Nyerere kutokana na matukio na matendo
Dogo ananiambia home Ifakara watu wamelipuka kushangilia utadhani Asoamoah Gyan kasawazisha goli ile siku ya Ghana na Uruguay
Kwa ambao hawakusikiliza mdahalo huu hapa (audio only):Chirbit ( mambo ) - Record, Upload and Share Audio Easily - Micro Podcast - Audio Sound Biteshttp://www.chirbit.com/fcOCNK