Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Trump hatumii nguvu nyingi kuongea ,anaongea jinsi ambavyo mabilionea wanakaa kuongea na wafanyakazi wao makapuku tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utashangaa mazuzu ya humu yanasema Haris anaweza kuongea kuliko Trump, Trump umshinde kwa kuongea?Trump anaweza akahamasisha watu wakanyanyuka kwenda vitani. Anajua sana kuongea hadharani.
Sasa bila marekani,kuna dunia?itakuwaje mdahalo wa dunia wakati ni kuhusu marekani ???
kwani marekani ndiko dunia ???
Mbona Yesu alikuwepo bila Marekani ?Sasa bila marekani,kuna dunia?
Sasa tulia uone atakavyopigwa kuanzia kura za wananchi mpaka huko kwa wazee.Ni siseme uongo kwa hili, Trump namkubali, na amini tu anashinda!
Amerika mara nyingi hawapo tayari kubet na nafasi ya rais, bora huyo mhuni mara nyingi kuliko mwanamke.USA haiwezi kuongozwa na mhuni kwa mara ya pili.
Kiuhalisia kuupitia mdahalo Kamala inaonekana kama kashinda kimtindo. Aliweza kummudu vizuri Trump.Kwahyo kwa wale mlioangalia mdahalo nani kashinda? Nataka nije nimuue Kamala kwa mhindi November
Kwa hiyo ameshinda in terms of appearance na sio on policies na kujibu maswali? Ama unataka kusema hii ilikua ni best looking contest ama debate, alieonekana vizuri ndio ameshinda?Kwangu mimi naona Harris katika debate hii kashinda zaidi kwa sababu hizi.
1. Shake hand approach
2. Body language (Proper)
3. Smile (Expression)
4. Gestures (Proper)
5. Facts and figures(Bombing)
6. Mediation policy in Gaza
7. Attack&defence answers
8. Calmness when she was attacked
9. Taliban and Putin issues (addressing against Trump)
10. Voice&words (Polite language).
Kama umeangalia vizuri mdahalo huu utakiri wazi, kwenye kujieleza Kamala Harris yupo mbele mnoo.Utashangaa mazuzu ya humu yanasema Haris anaweza kuongea kuliko Trump, Trump umshinde kwa kuongea?
Toka Haris ateuliwe kua mbadala wa Biden amefanya interview 2 tu, zote ziko highly scripted, ya CNN ambayo alikua peke yake na bado akaboronga na hii ambayo amekuja kutetewa na moderators wamsaidie wakati huo Trump amefanya interview 35 kwa kipind hicho.
Nadhani baada ya hapa Kamala hatafanya interview tena.
Ndio, Marekani ndio dunia!.itakuwaje mdahalo wa dunia wakati ni kuhusu marekani ???
kwani marekani ndiko dunia ???
🤣🤣🤣 Yupo menopauseMarekani hawawezi kumuweka kiumbe anayeenda mwezini kila mwezi awaongoze dhidi ya tishio la China,Russia,N.Korea,Iran and M.East in general
Hawa watu ni watofauti kidogo aiseeHakuna kipya zaidi Trump angeweza kueleza zaidi kupitia mdahalo huu kuliko ambavyo Harris angeweza kuutumia kujieleza na kujitambulisha mbele ya wamerekani.
Kwa kifupi sana, mdahalo huu ulilenga kumtambulisha zaidi Harris mbele ya wamarekani wengi ambao wanashauku kumfahamu Harris kama mgombea urais kabla ya kuamua.
ema Kamala hajakutana na tough questions kama alizokutana nazo Biden,,, moderators wamembeba sana,kama anajiamini a debate Fox newsKiuhalisia kuupitia mdahalo Kamala inaonekana kama kashinda kimtindo. Aliweza kummudu vizuri Trump.
Kama huamini, pitia youtube video ya mdahalo utaona ninachokisema.
Ukifahamu akili na tamaduni za wamerekani wengi wala hutaweza kuumiza kichwa kuuliza hilo swali. Kwa kukusaidia, mbali na sera (ambazo hubebwa na vyama vyao) wamerekani wanapenda kuongezwa na mtu hizi haiba.Kwa hiyo ameshinda in terms of appearance na sio on policies na kujibu maswali? Ama unataka kusema hii ilikua ni best looking contest ama debate, alieonekana vizuri ndio ameshinda?