Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Sahizi kasimama prof Mpangala analezea chimbuko la mpasuko wa bunge la katiba hotuba ya yake imekua ni kero kwa mamuluki ya ccm na faraja kwa upande wa pili
 
Picha zikionyesha vijana wa ccm wakishushwa na UDA hapa mliman kwa ajili ya kumzomea na kuwashangilia Wasira
 

Attachments

  • 1407068766438.jpg
    1407068766438.jpg
    50.8 KB · Views: 6,698
  • 1407068789975.jpg
    1407068789975.jpg
    41.3 KB · Views: 2,092
  • 1407068807312.jpg
    1407068807312.jpg
    38.3 KB · Views: 2,067
Lisu naye kaletwa na ccm hii nayo imekaaje.
 
tume ya warioba inatakiwa kurudishwa tena ccm acheni uhuni
 
Nyie watu msidhani kila mtu yuko karibu na TV kwanini hamuigi baadhi ya watu humu wanapoamua kuleta Update wanamcoat hadi muongeji sasa ninyi munatokwa Povu laaushabiki tu inawasaidiaje wanaotegemea JF kupata taarifa ya huo mdahalo
 
More updates......

Wasira anasema, Tundu Lisu, pia anasema Mh, Tundu Lisu, anaendelea kwa kusema, Lisu!!

Wakuu Mh. Wasira ni balaa kwa HOJA!! Wasira ni jembe kwa kumtaja Lisu mara 31 kwa dakika 6!!
 
kama tundu lisu yuko hamna cha maana zaid ya matusi tu
 
Hapa semeni yote lakini aina ya serikali tunayoitaka ni.
 
kaeni mbali na lisu, kichaa chake kinaweza kulipuka muda wowote
 
Topic tofauti,startv; Nini kifanyike bunge la katiba likiendelea wiki ijayo. TBC;Tujadili na tutafakari mchakato wa katiba mpya kwa manufaa ya taifa letu.
 
namuona shivji kazeeka na kama mtu mwenye majuto rohoni,sijui na yeye kasombwa na UDA kwenda kwenye mdahalo?...maccm mengi kwelikweli!
 
tundu lissu atarusha ngumi kafungua vifungo vya shati, ila tyson hamuwezi.

Hii inasaidia nini kwa mtu alie mbali na TV anaetegemea taarifa ya JF kujua kinachoendelea huko Nkuruma,,,
 
Back
Top Bottom