Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali maana kila neno analosema wasira wanapiga makofi
Yaani Mzee Wasira ametumia busara sana kuweka facts! Tundu anaendeshwa na mihemko na siyo facts
Humphrey Polepole
******MDAHALO MDAHALO MDAHALO MDAHALO MDAHALO*******
UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI SASA KATIKA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA
SIKU:
JUMATATU TAREHE 4 AGOSTI 2014 UKUMBI: HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO PLAZA
SAA:
MJADALA UTAANZA SAA 7 MCHANA KWA ELIMU YA MCHAKATO NA RASIMU
NA UTARUSHWA LIVE NA ITV KUTOKA SAA 9 HADI 12 JIONI
WAZUNGUMZAJI WAKUU:
MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA,
DR. SALIM AHMED SALIM WAZIRI MKUU MSTAAFU
NDUGU JOSEPH BUTIKU- MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE
PAMOJA NA,
MWATUMU MALALE- MTUMISHI WA UMMA MWANDAMIZI MSTAAFU
PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI- SHULE KUU YA SHERIA, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
AWADH ALI SAID- RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA ZANZIBAR
NA,
HUMPHREY POLEPOLE- KIJANA MDAU WA MAENDELEO
MDAHALO UMEANDALIWA NA:
TAASISI YA MWALIMU NYERERE
USIKOSE KUSHIRIKI KATIKA MDAHALO MUHIMU
prof. anaongea.... pametuliaaaaaaa
Dah prof Mpangala,anachana makavu live.