Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

watu wakiacha magari yao wakitumia ya umma nae nongwa du!!!!
 
mdahalo huo wamejiandalia chama Fulani ndio maana tbc nao wanarusha hauna tofauti na mkutano ule uliofanyika mwanza wiki iliyopita
 
Mkuu naona hivi sasa umegeuka kuwa mtetezi wa CCM mzuri sana.

Nakumbuka siku si nyingi sana nawe ulikuwa unakosoa utawala huu huu.

Nanukuu posts zako ambazo si za zamani sana.











Nina maswali kidogo kwako.

1. Hivi CCM imebadilika nini hasa ambacho kimekufanya uanze kuona nia njema kwao, nia ambayo mwanzoni hukuiona?

2. Nini kimetokea kwako hata ukabadili msimamo mara moja na kuanza kuwaunga mkono hao uliowaona mwanzo ni wakandamizaji?

3. Ni mabadiliko yako mwenyewe binafsi, au kuna ushawishi wa watu wengine?

Majibu ya maswali haya yatatusaidia hata sisi wengine tunaoona ukandamizaji wa CCM mpaka sasa.

Big up mkuu, ndo uzuri wa JF watu wana data za kutosha, yamkini kishalambishwa huyo, kuna wachumia tumbo wengi ndugu yangu.
 
Mzee Mangula naye yupo baada ya kurudishwa mjini kutoka kwenye kilimo cha nyanya Iringa.
 
Kumbe hata prof Tibaijuka amehuzuria kupigia makofi maneno yasiyo na hoja

This is very very wonderful .........indeed this is wounderful.....
 
Tunashukuru mulio eneo la tukio kwa kutupatia Habari na Sisi tulio mbali.........yote ya yote naomba busara zitawale.
 
Back
Top Bottom