Mohamed Ngwasu
JF-Expert Member
- May 11, 2011
- 304
- 79
nisaidieni kirefu cha UDASA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mdahalo wa ajabu sana, yani Wasira ata akijamba utasikia makofi yakipigwa
Haya makofi ya kishenzi yanashiria nini? nizile fedha au?
maana nikupiga makofi as if nimkakati wa ushangiliji bila hoja ya maana.
naunga mkono hoja naona watu wanapiga makofi ya kinafiki wamehongwa na ccmUmeona alichokuwa anawambia Yericko Nyerere jana huu ndio ukweli huu mdahalo umetengenezwa na CCM?
kuna watu wamehongwa na ccm kupiga makofi ya kinafiki
Kama ilivyolipotiwa hapo mwanzo kuwa chama cha mapinduzi ccm kina mpango kabambe wa kupeleka watu wa kukodi kwenda kumzomea mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni na mjumbe wa UKAWA kwenye mdahalo hapa NKURUMAH HALL. hizi ni picha zikionyesha mabasi ya UDA yakishusha vijana hapa chuo kikuuu maeneo ya Utawala. Ntaendelea kuwapa updates!!!
ccm ndo wameumbuka huoni wassira anapoweweseka huko au wewe ni kipofu hata sauti husikiiKwakweli UKAWA wana umbuka sasa!