Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

namuona Mwigulu kaja na vijana wazomeaji.wapi Yericko Nyerere.
 
MABASI UDA YALITUMIKA KUWABEBA WADAU WAO KUTOKA VIUNGA MBALIMBALI YA JIJI LA DAR ES SALAAM. Hiyo ndiyo CCM walivyojifikisha ktk mjadala huu kuuteka. MAGAMBA HAO KWELI WAHUNI.

hawajauteka bana,mbona wamempigia makofi lisu?
 
lissu acha kupoteza muda kanyaga twende maandamano njia pekee
 
Tuko pomoja na bahati nzuri ukawa tumejipanga kukabiliana nao kwa vyovyote vile tuombe tu nipate mic
Ukawa ilishatoboka kuleni nguruwe tu hamna jipya hata moja rudini kibosha mkatunze migomba tu.
 
Lisu anawahakikishia wazalendo kuwa safari lazima iendelee pamoja na kudharauliwa na kutukanwa.Wakipitisha katiba ya CCM kesho yake tunaingia ktk mapambano
 
Niko safar mdau si unajua mchina?? Masaa 6 kimeo hakina moto
 
kasimama wasira na kama kawa mamuluki kila jambo ni kushangilia shangilia na kwa kuwa wameahidiwa chochote yaani ni kero maccm ni janga la kitaifa
 
Back
Top Bottom