Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Anasema toka mwanzo pamekuwa na mvutano juu ya uwakilishi wa zanzibar.
 
kuna giza linatanda nyuma ya maua ya meza kuu.huyu atakuwa Wasira
 
Wassira anamcheki Lissu anavyo potosha!
 
Nimeazima betri ya simu kwa niliyekaa nae seat moja , Niko safari naomba updates zetu wadau
 
Lissu ni zaidi ya msomi kwenye wasomi na zaidi ya mwanasiasa kwa wanasiasa.
Lissu anatoa somo
 
Anasema UKAWA toka mwanza walipendekeza uwakilish wapatikane kqa kuchaguliwa na wananchi lakini ilishindikana .

Na hoja yao ilikuwa kuepusha mchakato kutaqalaiwa na wanasiasa.

Na anasema nchi za kenya na uganda wawakilishi waliteuliwa na wananchi na kwakuwa kwetu walichaguliwa na mwwnyekiti wa ccm kwaio walikuwa wanaenda ki ccm zaidi.
 
huu ni mdahalo wa ccm wala hakuna maswali kwenye mdahalo
 
Daah Naungana na Yericko Nyerere kuwa huu ni mdahoro ulioratibiwa na CCM.Naona Intarahamwe kila kona ya ukumbi
 
mjadala umetulia sana,wanywa viroba leo hawapo.
 
wadau wale waliokaribu na tv waakangalie tbc na star tv
 
Lisu anawashukia ccm kuwa walibadilisha kanuni baada ya wao kuondoka bungeni.
 
MABASI UDA YALITUMIKA KUWABEBA WADAU WAO KUTOKA VIUNGA MBALIMBALI YA JIJI LA DAR ES SALAAM. Hiyo ndiyo CCM walivyojifikisha ktk mjadala huu kuuteka. MAGAMBA HAO KWELI WAHUNI.
 
Back
Top Bottom