Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Muongoza mada anatoa tahadhari kwa washiriki kuwa wavumilivu kupokea wasichopenda kusikia.

Anawaasa pia wanasiasa kuaxha kuchanganya maneno ya kingereeza kiswahili.

Pia anasema watu wapinge hoja kwa hoja,ili watanzanie wapime .

Wasira hajaonekana mpka sasa,so sijui kama atakuja au vip ila naomba aje.

Anawatambulisha wagen wa muhimu na wanasema hawan mgeni mheshimiwa.
 
wadai kuanzia muda wowote mdahalo ulioandaliwa na udasa utaanza na
unarushwa na star tv wasemaji wakuu ni mh lissu na wasira ccm wamemwaga mamuluki wa kutosha kuna UDA kama tano hivi tayari Mwigulu lukuvi na pro tibaijuka

mwigullu.tibaijuka na lukuvi nao wamo?
 
sahizi katibu wa udasa anatoa utambulisho ameanza na tibaijuka mwigulu mkosamali kafulila
 
ukumbi umejaa watu wastaarabu, wasira kala kona.
 
Njia ya mwongo ni fupi, kwa jinsi waklivyoanza ni kuwa ni mdahalo bila maswali. Je wale wanaojua midahalo hilo linawezekana!?
Hata topic "nini kifanyike Bune likiendelea wiki ijayo", na mawaziri kuhudhuria kwa kiasi hiki ni wazi wanataka kuuaminisha umama kuwa kila kitu kiko sawa. Ngoja tusubiri, the end will justify the mean.
 
Tuko pomoja na bahati nzuri ukawa tumejipanga kukabiliana nao kwa vyovyote vile tuombe tu nipate mic
 
ya wapo lukuvi mwigulu na hao wote nilowataja tbc na star wanarusha ila tofauti midahalo mingi mudahalo huu umehudhuruwa na wanaccm wengi sana walioletwa na UDA kadhaa
 
wadai kuanzia muda wowote mdahalo ulioandaliwa na udasa utaanza na
unarushwa na star tv wasemaji wakuu ni mh lissu na wasira ccm wamemwaga mamuluki wa kutosha kuna UDA kama tano hivi tayari Mwigulu lukuvi na pro tibaijuka

mkuu serikali nzima imeenda udasa ihi kali kweli kweli.
 
huu ni mdahalo wa ccm

Pigia mstari sekretarieti yote ipo hapo ikiongozwa na Lukuvi na Mwigulu.

leo watakinukisha kesho mzee warioba na Mzee Salim Ahmed salimu watalekebisha salaama wasalmini.
 
Naona Mh. Wasira amekacha? Tungoje labda anasubiri kusikia Tundu Lissu atasema nini kisha asingizie foleni.
 
Mbona hata sioni jamani

Sent from my iPad using JamiiForums
 
wadai kuanzia muda wowote mdahalo ulioandaliwa na udasa utaanza na
unarushwa na star tv wasemaji wakuu ni mh lissu na wasira ccm wamemwaga mamuluki wa kutosha kuna UDA kama tano hivi tayari Mwigulu lukuvi na pro tibaijuka
Ni kawaida kwa mikutano ya ccm bila kukodi fuso za kubeba watu ba buku 5 kila mmoja huwa hakuna mkutano
 
Back
Top Bottom