Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Wassira ni kiboko ya Lissu na leo atagalagazwa kama mdhalo uliopita! Lissu ana tapa tapa tuu hana pakushika.
Kapime afya yako ya akili..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wassira ni kiboko ya Lissu na leo atagalagazwa kama mdhalo uliopita! Lissu ana tapa tapa tuu hana pakushika.
Mwana UKAWA na wakili msomi Kamanda Mh.Tundu Lissu atakuwa live Star Tv kuanzia saa 8 katika mdahalo wa katiba uliondaliwa na UDASA.
Atakuwepo pia Dr. Kitila kama mwana UDASA na upande wa CCM atakuwepo Mh. Wassira.
My Take:
Wazalendo jitokezeni kumuunga mkono Tundu Lissu na wazalendo wengine
Aisee kumbeee...KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.TataMadiba said:Hakuna mzalendo anaweza kuunga mkono UKAWA.
Mkuu kuna watu wanakera sana..badala ya kutulia tupate mawazo ya wazungumzaji wao wanabaki kupiga mikelele ya kuzomea...unajua kwenye mdahalo inabidi watu washindane kwa hoja mwishowe wananchi nao watapima kulingana na hoja zinazotolewa..ila watu wanaleta ushabiki wa vyama mwishowe wanaanzisha kelele zisizo na faida.
Nitajitahidi kuweka updates kadiri ya uwezo wangu stay tuned.
Unamaanisha saa nane mchana au saa mbili asubuhi?
Hakuna mzalendo anaweza kuunga mkono UKAWA.