Ukitaka kumua nyani usimuangalie usoni. CCM wanafikiri sura ya Wassira itamponya! Tundu Lissu usimuangalie Wassira usoni maana unaweza kuingiwa na huruma.
BTW hivi msimamo wa ACT kuhusu katiba mpya ni upi Dr Mkumbo?
Matusi jadi yenu, watanzania wanajua mchango wa Wasira katika kunusuru nchi isigawanywe vipande vipande na UKAWA.