Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

mwenyekiti wa mdahalo prof mmoja simfahamu anatoa maelezo yake anatahadharisha uwe tofauti na mingine
 
Naona Mh. Wasira
amekacha? Tungoje labda anasubiri kusikia Tundu Lissu atasema nini kisha
asingizie foleni.

wasira alijipumzisha (kalala) baada ya mlo wa mchana kwa waliokaribu nae kamwamsheni mwambieni muda umeshafika.
 
wasira ndo anaingia na kupanda jukwani
 
hata mimi nashangaa mdahalo gani ambao hauna maswali namwona tundu lissu anaanza kuongea
 
CCM wamejaza mamluki wao ndani, na makada wao. Huu ni mdahalo utakaobeba maslahi ya CCM. SIDHANI KAMA ITAKUWA MJADALA WA KUVUTIA NA KUJENGA HOJA IKASIKIKA. Ila wadau endeleeni kufuatilia, mie ninapita kidogo..kuna kazi yangu fulani ninaenda kumalizia kwanza...
 
asanteni sana kwa usikivu keshafika.
 
wanaanza kwa kumpa nafasi ya kwanza Mh. Lissu ili wamalizie kwa kumponda kama aliv yotangulizwa mzee Warioba dodoma. Ngoja tuone
 
tundu lissu atarusha ngumi kafungua vifungo vya shati, ila tyson hamuwezi.
 
Lissu anakuwa wa kwanza kuwasilisha kwa wadau wa kisiasa alafu badae wanafuata wanataaluma.


Anato shukuran kwa kuandaliwa kwa kongamano hili.


Anasema angekuwa yy angeupa mdahalo huu kichwa kwamab.
Tumetoka wapi,tupo wapi na tunaenda wapi.
 
wadai kuanzia muda wowote
mdahalo ulioandaliwa na udasa utaanza na
unarushwa na star tv wasemaji wakuu ni mh lissu na wasira ccm wamemwaga
mamuluki wa kutosha kuna UDA kama tano hivi tayari Mwigulu lukuvi na pro
tibaijuka

acha porojo tupia picha
 
Anasema mahali tulipo ni mpasuko mkubwa wa kijamii na sio wa kisiasa peke yake maana.

Wanajamii wamegawanyika katika makundi mawili nainawezekana kila mmoja anawwza kuwa na wafuasi wwngi.
 
Kama ilivyolipotiwa hapo mwanzo kuwa chama cha mapinduzi ccm kina mpango kabambe wa kupeleka watu wa kukodi kwenda kumzomea mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni na mjumbe wa UKAWA kwenye mdahalo hapa NKURUMAH HALL. hizi ni picha zikionyesha mabasi ya UDA yakishusha vijana hapa chuo kikuuu maeneo ya Utawala. Ntaendelea kuwapa updates!!!
 

Attachments

  • 1407065980252.jpg
    1407065980252.jpg
    51.3 KB · Views: 721
  • 1407065995590.jpg
    1407065995590.jpg
    50.8 KB · Views: 585
  • 1407066006966.jpg
    1407066006966.jpg
    38.3 KB · Views: 578
  • 1407066023056.jpg
    1407066023056.jpg
    43 KB · Views: 565
Anasema kwa mara ya kwanza mswada kuletwa ulileta mgogoro mkubwa sana huko zanziba baada ya kuchanwa hadharani.

Na kitendo hicho kiliprlekea mswada huo kutolewa na kuletwa upiya bungeni.

Na badae ilirekebishwa na wanaojiita ukawa leo walipata kwenda kwa rais wakaongea na kufikia maridhiano!
 
duh jamani Samahani wakuu Wasira anatisha usoni. lissu anatoa historia ya mchakato wa katiba tangu 2011 anaeleza mikwamo mingi na kuelezea sheria na kuundwa kwa tume
 
Back
Top Bottom