Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Wasira mbuyu mkubwa amemgalagaza sana Tundu Lissu hadi aibu! Hapa hakuna jazba kunatakiwa facts!
 
Daa Wassira ana mpa shule hapa Lissu!
anampa shule wakati wassira amesema lissu alikuwa mwalimu wake au kuna mwanafunzi anamfundisha mwalimu ccm wameumbuka sana leo hawana hoja zaidi ya kupiga makofi ya kinafiki
 
na wengine wakodishe pia ngoma iwe droooooooooo!!
 
Naona mdahalo hauendeshwi kisomi tena.Maana naona watu wanashangilia tu bila kutafakari.
 
Kumbe hata prof Tibaijuka amehuzuria kupigia makofi maneno yasiyo na hoja

This is very very wonderful .........indeed this is wounderful.....
Kama umemsikiliza vizuri Prof. Lumumba jana jumamosi utakuwa umeelewa kuwa Watanzania tuna matatizo na wenzetu sasa wanajua hili
 
Kama ilivyolipotiwa hapo mwanzo kuwa chama cha mapinduzi ccm kina mpango kabambe wa kupeleka watu wa kukodi kwenda kumzomea mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni na mjumbe wa UKAWA kwenye mdahalo hapa NKURUMAH HALL. hizi ni picha zikionyesha mabasi ya UDA yakishusha vijana hapa chuo kikuuu maeneo ya Utawala. Ntaendelea kuwapa updates!!!
We chizi kweli mtu kijana akishuka toka kwenye gari kaletwa na ccm?
 
Tunashukuru mulio eneo la tukio kwa kutupatia Habari na Sisi tulio mbali.........yote ya yote naomba busara zitawale.

Yaani Mzee Wasira ametumia busara sana kuweka facts! Tundu anaendeshwa na mihemko na siyo facts
 
Hii nchi ya ajabu kweli basi waje na treni pengine mtafurahi na kuona wako sahihi.
 
Daa Wassira ana mpa shule hapa Lissu!

Humphrey Polepole
******MDAHALO MDAHALO MDAHALO MDAHALO MDAHALO*******

UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI SASA KATIKA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA

SIKU:

JUMATATU TAREHE 4 AGOSTI 2014 UKUMBI: HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO PLAZA

SAA:

MJADALA UTAANZA SAA 7 MCHANA KWA ELIMU YA MCHAKATO NA RASIMU

NA UTARUSHWA LIVE NA ITV KUTOKA SAA 9 HADI 12 JIONI

WAZUNGUMZAJI WAKUU:

MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA,

DR. SALIM AHMED SALIM WAZIRI MKUU MSTAAFU

NDUGU JOSEPH BUTIKU- MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE

PAMOJA NA,

MWATUMU MALALE- MTUMISHI WA UMMA MWANDAMIZI MSTAAFU

PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI- SHULE KUU YA SHERIA, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

AWADH ALI SAID- RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA ZANZIBAR

NA,

HUMPHREY POLEPOLE- KIJANA MDAU WA MAENDELEO

MDAHALO UMEANDALIWA NA:

TAASISI YA MWALIMU NYERERE

USIKOSE KUSHIRIKI KATIKA MDAHALO MUHIMU
 
Back
Top Bottom