Ukitaka kumua nyani usimuangalie usoni. CCM wanafikiri sura ya Wassira itamponya! Tundu Lissu usimuangalie Wassira usoni maana unaweza kuingiwa na huruma.
BTW hivi msimamo wa ACT kuhusu katiba mpya ni upi Dr Mkumbo?
Msije anza kuzomea zomea sasa maana amkawii jamaa wa Bunda akianza vijembe mnaanza maana atakuwa anasaidiwa na Nape pia mtulie msikilize mambo na pia msikilize na Tundu Lissu
umesahau kuwa ni juzi tu WASIRA aliwachachafia UKAWA watatu akiwemo LISSU, leo atakuwa na jipya gani mbele ya Wasira?
kumbe vijembe nilidhani hoja
Hakuna mzalendo anaweza kuunga mkono UKAWA.
Matusi jadi yenu, watanzania wanajua mchango wa Wasira katika kunusuru nchi isigawanywe vipande vipande na UKAWA.
Mkuu naona hivi sasa umegeuka kuwa mtetezi wa CCM mzuri sana.Wassira ni kiboko ya Lissu na leo atagalagazwa kama mdhalo uliopita! Lissu ana tapa tapa tuu hana pakushika.
Na inavyo onekana ilitumwa kabisa.
Sijui ule msemo wa sisiemu chama sikivu ndio maana yake!
Hawa jamaa ni hatari na inaonesha wako tayari kumwaga damu ili mradi wasitoke madarakani.
Ninacho jiuliza ni kwamba kwa nini siasa zina tupeleka huku, leo kutishiana silaha imekuwa kawaida hasa wafuasi wa ccm na viongozi wao wame kuwa mstari wa mbele kutishia watu kwa silaha na wamekuwa wanaangaliwa yamkini wako juu ya sheria.
Ni vyema CCM waka jua hii nchi siyo ya kwao ni yetu sote na safari yao wame iandaa wenyewe.
Na kamwe CCM hamtozuia mabadiliko kwani ni wakati wake!
Hakuna wanachokifanya zaidi ya kutete uongo na kutumiwa kama daraja la wengine! Umoja usio ona maovu ya wakubwa wao na kuya kemea ni umoja gani,.
Yan anazani yeye anavyo danganywa kwa tishert na khanga za kijani basi anajua kila wanawake wana danganyika kama yeye.
Amesahau kuwa wanawake sikuhizi wamebadilika hawafati mkubo kama yeye anavyo endeleza style hiyo.
Umenena vema! Kwanza wanaonekana kabisa wako nyuma kabisa kwani hakuna asiye jua kuwa ccm yao ndio inachochea vurugu na hasa kwa kipindi hiki bora wange kaa kimya kuliko kuonekana vituko.
Nilitegemea watachangisha pesa za kumsaidia mke wa marehemu na familia yake kumbe wao wanajali uhai wa ccm kuliko binadamu!
mwambieni LISSU aache matusi ajikite kwenye hoja hatapigwa vijembe.
Nahisi wasira atakimbia kwa kuwa hana hoja ya msingi zaidi ya vaporization
Wale waongo na wazushi wa Chadema akina Yeriko walidai wanaalikwa kwa laki mbili kwahiyo Tundu Lissu kakubali kupokea mlungula?
Niwaombe wahusika wakague audience mlangoni ili waliyolewa gongo na viroba wasiyo na usikivu wa hoja na wasiyojua maana ya mdahalo wasije kupata nafasi ya Kuzomea na kupiga kelele maana wao hawana hoja, wanachojua ni ushabiki na kelele tu.
Mbona kama unaandaa mazingira ya kuruhusu watu walioandaliwa kwa malengo maalum