Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ss Mwigulu katoboa kuwa maccm walikuwa na msimamo.
Ss wanamsema Warioba vibaya kwanini?
CCM imeisha wameanza kukiri.
haaah,haah huyu anaongea na wasomi au?Hapa Mwigulu atapiga porojo halafu swali hatajibu
picha tafadhali, matusi ya nini unadahalilisha jukwaa.
Yaani wanapiga kelele kama mazuzu badala ya kusikiliza mjadala na kujenga hoja.
samahani kwa hilo lakini kama nchi imdekuwepo miaka 50 bado timu inashindwa, Kentya na Uganda wanakusanya medali Glasgow na sisi baadhi yetu wanasema 'no change' ndio tunachanganyikiwa zaidi!Duh! omujubi na Deo Corleone mbona mnatuchanganya?,tuko huku ili tushushe presha za huko mpirani,anyway asanteni kwa taarifa.
ni makada wa ccm waliosombwa na mabasi ya uda kwenda nkrumah!
Hawa vijana wanaoshangilia pumba za magamba sijui wamelipwa shilingi ngapi..
Mimi hata siangalii upuuzi huo wa ccm.Nasubiri kesho ubungo plaza