Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Hivi hawa si ndio waliopewa laki na nusu kuja kushangilia nkrumah...
 
Ukawa rudini bungeni, Watanzania watawalaumu kwa kula kodi yao na kutoroka.
 
Yaani ni uchafu kuliko maelezo ,hata haielezeki ...eti wanajiita wasomi.
ila mwananfunzi ni mwanafunzi tu.

.... Mkuu Nakwambia Hapa Kuna Watoto Wa Mitaani Wamekusanywa Na Kusombwa Kwa Wingi Kuja Kushangilia Nyani
 
HIZO HELA WANAZO POTEZA KUJADILI KATIBA.
WAPEWE MKOPO WANAFUNZI WA CHUO.KIKUU.
Maana ni kuingia na kutoka bungeni bilaakubaliano.mie maona hii ni mapema sana kuibadili katiba LABDA tusubili HAWA wazee WAFE.
 
Ndiyo.

La Lisu very simple mkuu.

Ukifaham mnachokifanya nikutoa mimba-mnafanya mauwaji, hutakiwi kabisa kushiriki utowaji mimba ukifahamu fika

unafanya mauwaji ukitaraji Ukifika mahakamani hakimu ataamua kama nikweli au hapana. Unaweza kuhonga na hakimu

akasema hukushiriki kufanya mauwaji bali ulifika kumsaidia mama aliyezidiwa siumesalimika japo unafaham fika ulishirika kuuwa.

Kesi umeshinda kwasababu umehonga na umemrubuni hakimu

-CCM inauwezo mkubwa wa kufanya madhila na ushenzi wa kuhonga nahivyo ikaonekana waananchi wameipitisha kumbe

uraghai na udanganyifu umetumika
(hila ya ccm imejificha hapa-Rushwa na utapeli)

UKAWA wasishiriki kupitisha upuuzi, watakuwa wameshiriki na kubariki Katiba mbovu - Inayoiva haraka huoza haraka

asante mkuu, nimekuelewa vema hususani INAYOIVA HARAKA HUOZA HARAKA
 
Hapana wanafunzi wote udsm wako likizo na waliopo wameshushwa na mabasi ya uda hapa utawala huku nikishuhudia. Sio wanafunzi na wala sio watumishi wa udsm. Udasa wameleta aibu ya mwaka kuuaibisha usomi
 
Sijawahi kumchukia binadamu mwenzangu, lakini najikuta simpendi kabisa Mwigulu Nchemba
 
Anajikosha. Pengine ameshausoma upepo, hauvumi upande wao.
 
Huyu mwanasheria ana pupa hata haeleweki,sijui anaogopa au ka panick.....
 
Mbona kama vile wamepangwa hawa washiriki.Alietoka anaunga mkono s3 aliemaliza s2.
 
Back
Top Bottom