Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Lissu anajibu swali la Mkumbo,anasema tatizo ni kwamba kuna kanuni zimebadilishwa,sasa vijana wanazomea kwa nguvu kwa nguvu
 
Mara ya kwanza nilipoona picha za mabasi ya UDA nilidhani labda ni propaganda, kumbe kweli aise! Salute JF; mzungumzaji kama yule mama wa TLP na pia sikuona mantiki ya kudanganya eti wazanzibari kumbe ni makada wa ccm, halafu humo ukumbini wapo pia wabunge wa vyama vingine, how wameweza kuwaita wabunge 2 wa ccm tu lakini imekua ngumu kumwita walau Kafulila au yule wa Kasulu? CCM tu? kweli elimu yetu inataniwa sana nchi hi aise!
 
Yaani ni uchafu kuliko maelezo ,hata haielezeki ...eti wanajiita wasomi.
ila mwananfunzi ni mwanafunzi tu.

Zamani struggle zilianzia vyuoni ili uwe mwanasiasa lazima uweze kuwashawishi wanachuo na kweli walikuwa wanawakilisha wananchi waliowengi lakini wanafunzi wa sasa wanaopenda kusoma magazeti ya rangi rangi na kukalilishwa vitini vya Nyambali Nyangwini ni shida japokuwa sio wote wapo hivyo
 
Lisu anawachanaaa hapaaaa...Mamaeeee...Nyie zomeeni ila Ukweli ndio Huoooo
 
Anachachafya kuwa dhambi ya Ukawa ndio itakayoleta katiba bora.watu wanashangilia na wengine wanazomea.ulinzi inabidi uimarishwe
 
Kiukweli Tundu Lisu ni noma,anazomewa lakini anazidi kuchana mistari
 
Kwa kweli UDASA mmetia aibu kwa kushindwa kuendesha mdahalo kitaalam. Hivi Lukuvi anafunga mjadala kama nani?
 
Salama kabisa...naona Lisu anazomewa tu!!

Hao vijana wa cc kablaf hawajpandishw kwenye uda walinyqesha viroba kqanza thn wakapewa ahadi kuwa ujira wao ni jioni akiongea wa ukawa ni zomeamqanzo mwisho akiong wa ccm hatakama ni pumba ni shangilia mwanzo mwisho.its too late tushaelewaga kitahmbo hila za macccm
 
Mwee Lukuvi yupo? ccm haina watu jamani...!
 
Watu wanatoka baada ya lukuvi kupanda kuongea


Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
 
Wanamzomeaaaaaaaaaaa Hapaa....Ili jingaaaa eti limezoeaaaa kuzomewaaaa
 
Back
Top Bottom