Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Lukuvi anazomewa mbaya sana hapa
 
Genge la wahuni wa Lisu wanalipiza kisasi kwa kumzomea Lukuvi kabla hata hajaongea wameamua kutoka.
 
xaxa[/B] kitumbo si angeenda kama mwenyekiti kivuli wa Ccm B.

Naona keyboard yako ina shida kwa baadhi ya herufi maana hapo sijui unamaanisha nini unaposema xaxa? itakuwa umechanganya na lugha ya Kishona bila shaka au kama keyboard mbovu andika kwa mkono alafu unapiga picha maandishi na kuyaweka kama picha
 
Mbona pamekaa kimya sana kumbe waliokuwa na fujo ni wana Chadema
 
Alafu wapinzani wakiwa wanaongea king'amuzi kinakata kata.
 
Hawa wanafunzi wa UDSM wametia aibu usomi gani huu
 
Lukuvi limezoeaaa kuzomewaaaaaa....Jingaaa kweli kweli.....
 
Siyo suala la kutaka. Ni suala la standards za kuendesha mdahala ukiwa neatral body. Yupo pale kama nani.
 
Lukuvi hajielewi....kampongeza mkumbo,prof mpangala kasema eti anazijua harakati zake
 
Back
Top Bottom