Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Hahahahahaha, naisi mdahalo umepangwa na chama flank.Mbona mwenyekiti alisema tundu ndio wa mwisho na akajibu swali lake vizuri.Mbona lukuvi kaja kuchallange hayo majibu?

Mkuu achana na hii biashara ya maparachichi. Kesho ndio mdahalo wa katiba utafanyika.....
 
Haya niyale Yericko aliyosema tuangalie hata mikutano yamaccm nikubeba tu watu kwenye malori alafu wewe ukibeba kama usafiri tena wakujitolea mahali penye shida ya usafiri nibala trafic watakusumbua mpaka basi shame on you ccm
 
Hivi W. Lukuvi nimmoja wa wasemaji wakuu?

Ilisemwa muda wa Star Tv umeisha vipi, Kwasbabu anaongea Lukuvi au?

Hapo Star Tv wanaonesha dhahili Ugamba wao.
 
mh. lukuvi amedai kuwa mzee warioba amepeleka mapendekezo mapya mengine juu ya katiba Mpya
 
Chakushangaza anatumia zaidi ya dkk mbili walizopewa meza kuu.

Ndio hapo sasa ndio maana mimi binafsi huwa namkubali sana Mama Mwakitwange anapokuwa msimamizi wa mdahalo/kongamano siyo siri huwa anaweza saana.
 
Siku hizi watu wanashindana kuwa wa kwanza kupost JF!!
 
Wakuu, Akichangia katika mdahalo wa katiba katika ukumbi wa Nkurumah, Mh Lukuvi amesema judge Warioba amepeleka hoja mpya serikalini tofauti na mapendekezo ya rasimu. Kwa muktadha wa mchango wake ni kuwa Wariba amebadili muelekeo juu ya serikali tatu zinazopendekezwa.
Je hili jambo ni kweli?
Natambua tume imeshafutwa je amepeleka kama yeye au kama tume?
 
waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu ndugu lukuvi amepata aibu kubwa katika mdahalo baada ya wanafunzi halali wa vyuo vikuu kukataa kumsikiliza na kutoka nje wakimuacha akisikilizwa na wana funzi wao waliosombwa na UDA kutoka buguruni hii ni aibu kubwa sana
 
Eti Lukuvi anahoji Uhalali na ukweli wa Ukawa na Mkumbo akafanye reseach?

Yeye Lukuvi na serikali Mbili anania thabit na watanzania?

tena anamdhihaki Lisu kwa ushenzi kabisa na upumbavu wa hali ya juu

Star tv niwashenzi kuruhusu Lukuvi kuweka maneno ya propaganda na ushenzi usiovumilika.
 
Naomba kujuzwa kwa mwenye takwimu, je bila UKAWA Bunge la katiba watapata akidi ya 2/3 ili kupitisha rasimu ya mwisho?
 
Nafasi ya Lukuvi katika kufunga mjadala, kasimama kama nani ndani ya mjadala??????!
 
Back
Top Bottom