Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndg star tv wameshajiweka kwenye listi ya tbc kua ni hadui wa watanzania.
hahaahaha....Lisu lazima arejee kundini. Hilo tongozo lilikuwa la ukweli. Big up LukuviJamani lukuvi izo sifa anazomwagia tundu lissu.
Yani we ni jitu jinga sana, kwani mtu akitofautiana na UKAWA ndio anakiwa interahamwe!?
Yani we jitu la ajabu sana kwani mtu kutofautiana na DJ asiyekwenda shule ndio adui wa watanzania.!?
waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu ndugu lukuvi amepata aibu kubwa katika mdahalo baada ya wanafunzi halali wa vyuo vikuu kukataa kumsikiliza na kutoka nje wakimuacha akisikilizwa na wana funzi wao waliosombwa na UDA kutoka buguruni hii ni aibu kubwa sana
Jamani lukuvi izo sifa anazomwagia tundu lissu.
Lukuvi kumbe zile 800mil alizituma yeye kwa Lissu ili awageuke UKAWA?? TZ nchi imejaa ngedere!!Adai yeye akigeuka na ukawa wanamfuata,amsihi akawageuze
Nafasi ya Lukuvi katika kufunga mjadala, kasimama kama nani ndani ya mjadala??????!
Nafasi ya Lukuvi katika kufunga mjadala, kasimama kama nani ndani ya mjadala??????!
Mungu ibariki Tanzania.
Yap ni kweli kabisa. Kwa uelewa wako mdogo ingetakiwa iwe hivyo. But kwa hali ilivyo kilichotokea ndio sahihi na ndio uhalisia wenyewe
na pia ailaani CCM
Mdahalo umeisha hoja zimetolewa. watanzania wa leo sio wa mwaka 1947 na nafasi ya UDASA katika taifa hili imeeleweka wazi.Njia ya mwongo ni fupi, kwa jinsi waklivyoanza ni kuwa ni mdahalo bila maswali. Je wale wanaojua midahalo hilo linawezekana!?
Hata topic "nini kifanyike Bune likiendelea wiki ijayo", na mawaziri kuhudhuria kwa kiasi hiki ni wazi wanataka kuuaminisha umama kuwa kila kitu kiko sawa. Ngoja tusubiri, the end will justify the mean.
umejibu kwa unyonge mno.Yap ni kweli kabisa. Kwa uelewa wako mdogo ingetakiwa iwe hivyo. But kwa hali ilivyo kilichotokea ndio sahihi na ndio uhalisia wenyewe