Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

WanaJF baada ya mdahalo wa UDASA ( CCM) namualika kwenu ndungu

1. Kitila Mkumbo kutoa ufafanuzi kilichotokea maana jana alibisha kuwa huu mdahalo umeadaliwa na CCM

NAkala kwa Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Udasa na TBC na star TV asanteni kwa kutuletea mdahalo huo Wa katiba kiukweli IPO kazi kama simba na yanga du! Kweli noma tunashukuru mdahalo kuisha salama
 
Katika makada wa ccm, Mwigulu Nchemba kidoogo anaueledi sema nae uccm bado unamfanya awe blind. Jamaa amejalibu kusoma atmosphere ya mjadala angalau kidogo akaweza kutumia asilimia chache za akili zake tofauti na wengine Ku-win majority
 
Yani we ni jitu jinga sana, kwani mtu akitofautiana na UKAWA ndio anakiwa interahamwe!?

nimemsikiliza kwa makini sana na ninarudia confidently!! Lukuvi na wewe wote mazoba.
haiwezekane mtu mzima kama yeye na wewe muwaone watanzania wote wajinga na hawana akili.
 
Baada ya kuona TBC inaonesha mdahalo nikajuwa ni Intarahamwe ipo kazini Lukuvi aibu yako ile CCM tumewachoka.
 
Kampa Lukuvi, ndio UDASA kielelezo cha wasomi Tanzania, mdahalo bila maswali! Anasema Mzee Warioba kaleta hoja mpya, sijui kaileta leo saa 12?!

Ni muendelezo tu wa yale ya Warioba kuwasilisha rasimu kisha Rais kuja kufungua Bunge.
 
ndo maandalizi waloyafanya kuhujum uhalisia wa mdahalo. Eti anatoa atimatam ya wao kwendafanya maamuzi he huyu najiona yupo juu ya watanzania wote eti?

ulevi wa madaraka namna hiii ni zaidi ya udikiteta na madikiteta wote hushia pabaya sana.

sio 2 kulewa mkuu ni kuvimbiwa full.
 
umejibu kwa unyonge mno.
Bado unaamini ccm haijatia aibu kwenye hili??
CCM imetia aibu kwa lipi? Kilichofanyika leo kimetoa mwanga kwa kila mtu. CCM imeuanzisha mchakato wa katiba na itaumaliza salama salmini
 
Asema dhambi ya ccm ni kuweka msimamo wa kichama kama ulivyotolewa na jk wakati akifungua bunge

dont be biassed, amesema dhambi hyo iko pande zote.

All in all, kaongea vizuri sana. I just didnt believe...
 
CCM imetia aibu kwa lipi? Kilichofanyika leo kimetoa mwanga kwa kila mtu. CCM imeuanzisha mchakato wa katiba na itaumaliza salama salmini


kwa mengi lakini lakuudhi zaidi

Ni kada wa ccm, waziri ofisi ya rais W. Lukuvi

Pamoja na mawazo ya wasomi na wantazania wengine anasema wao (ccm) wanaenda kupitisha maamuzi.


Huu ni zaidi ya ujinga, anajifanya anamadaraka na maamuzi zaidi ya watanzania? anadhani hili taifa nila ccm peke yake?

Huko nikutia aibu yaani Maamuzi ya ubabe, lazima na udikiteta.
 
Hapa nimeona wanafunzi wa vyuo mbalimbali hasa IFM nadhani watakuwa wameletwa, walichokosea sana ni zomeazomea na kupigia makofi vitu ambavyo si vya msigi.
 
Back
Top Bottom