Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mwenyekiti Ameonesha Wazi Mahuba Yake Kwa Chama, Ushahidi, Mwisho Wa Mdahalo Kampa Steven Wasira Aongee,alipomariza Alitakiwa Tundu Lisu Aongee Kisha Wengine, Badala YaKe Akadai Muda Umeisha,watu Wakapiga Kelele Ndipo Akamruhusu Tundu Lisu Aongee,tulitegemea Kwa Sababu Ya Muda Angemariza Kama Alivyokuwa Anadai Muda Umeisha,badala Yake Akampa Nafasi Wiliam Lukuvi Ambae Alimpa Nafasi Kubwa Sana Akawaacha Wachangiaji Waliokuwa Meza Kuu Ambao Kimsingi Ndio Ulikuwa Muda Wao. Hy Ukiacha Wazungumzaji Inaonekana Aliwaandaa,kwa Sababu Alikuwa Anawateua Yeye,kwanini Isingekuwa Kama Siku Zote Kuwa Mtu Ananyoosha Kidole Anapewa Maiki? Kwa Mtindo Huo Chuo Kikuu Cha Dar Kimepoteza Sifa Kwa Kuruhusu Mwenyekiti Asiye Na Uwezo Wa Kutosha Kuongoza Kikao.Sasa Nakifananisha Na Shule Za Kata Kama Mtindo Huo Watauendekeza.Pale Ni Sehemu Ya Academician Ambapo Wasomi Hujadiliana Kwa Hoja Na Siyo Kwa Mapenzi Ya Vyama Kama Huyo Mwenyekiti Wa Kongamano La Leo Sijui Anaitwa Nani? Sijui Anaelimu Gani? Na Amesomea Wapi Na Ufaulu Wake Ukoj
 
Mwigulu mrudie mungu na wanaccm wenzako mmetutesa sana wananchi kwa miaka 50 mmejilimbikizia Mali il a mtaviacha mtaenda mbinguni kama mlivyozaliwa
 
tutegemee mengi sana maana ni kama udasa walikua wamesha nunuliwa na chama cha mapinduzi. na ndio ukweli ilikua ni hivyo kabisa na ndio tunajua vibaraka ni watu wabaya kuliko wachawi.
 
Mwenyekiti Ameonesha Wazi Mahuba Yake Kwa Chama, Ushahidi, Mwisho Wa Mdahalo Kampa Steven Wasira Aongee,alipomariza Alitakiwa Tundu Lisu Aongee Kisha Wengine, Badala YaKe Akadai Muda Umeisha,watu Wakapiga Kelele Ndipo Akamruhusu Tundu Lisu Aongee,tulitegemea Kwa Sababu Ya Muda Angemariza Kama Alivyokuwa Anadai Muda Umeisha,badala Yake Akampa Nafasi Wiliam Lukuvi Ambae Alimpa Nafasi Kubwa Sana Akawaacha Wachangiaji Waliokuwa Meza Kuu Ambao Kimsingi Ndio Ulikuwa Muda Wao. Hy Ukiacha Wazungumzaji Inaonekana Aliwaandaa,kwa Sababu Alikuwa Anawateua Yeye,kwanini Isingekuwa Kama Siku Zote Kuwa Mtu Ananyoosha Kidole Anapewa Maiki? Kwa Mtindo Huo Chuo Kikuu Cha Dar Kimepoteza Sifa Kwa Kuruhusu Mwenyekiti Asiye Na Uwezo Wa Kutosha Kuongoza Kikao.Sasa Nakifananisha Na Shule Za Kata Kama Mtindo Huo Watauendekeza.Pale Ni Sehemu Ya Academician Ambapo Wasomi Hujadiliana Kwa Hoja Na Siyo Kwa Mapenzi Ya Vyama Kama Huyo Mwenyekiti Wa Kongamano La Leo Sijui Anaitwa Nani? Sijui Anaelimu Gani? Na Amesomea Wapi Na Ufaulu Wake Ukoj

Tupe kwanza matokeo ya mwenyekiti wa Chadema Mr. Zero Mbowe katika mtihani wa form six then tutakupa ufaulu wa huyo mwenyekiti wa mdahalo
 
Ni kibaraka Lakikni kakojoe uloale
 
Tupe kwanza matokeo ya mwenyekiti wa Chadema Mr. Zero Mbowe katika mtihani wa form six then tutakupa ufaulu wa huyo mwenyekiti wa mdahalo

Mimi Sizungumzii Uchama,nazungumzia Uwezo Wa Kuongoza Jukwaa Huyo Mwenyekiti Uchwala,
 
Mwenyekiti Ameonesha Wazi Mahuba Yake Kwa Chama, Ushahidi, Mwisho Wa Mdahalo Kampa Steven Wasira Aongee,alipomariza Alitakiwa Tundu Lisu Aongee Kisha Wengine, Badala YaKe Akadai Muda Umeisha,watu Wakapiga Kelele Ndipo Akamruhusu Tundu Lisu Aongee,tulitegemea Kwa Sababu Ya Muda Angemariza Kama Alivyokuwa Anadai Muda Umeisha,badala Yake Akampa Nafasi Wiliam Lukuvi Ambae Alimpa Nafasi Kubwa Sana Akawaacha Wachangiaji Waliokuwa Meza Kuu Ambao Kimsingi Ndio Ulikuwa Muda Wao. Hy Ukiacha Wazungumzaji Inaonekana Aliwaandaa,kwa Sababu Alikuwa Anawateua Yeye,kwanini Isingekuwa Kama Siku Zote Kuwa Mtu Ananyoosha Kidole Anapewa Maiki? Kwa Mtindo Huo Chuo Kikuu Cha Dar Kimepoteza Sifa Kwa Kuruhusu Mwenyekiti Asiye Na Uwezo Wa Kutosha Kuongoza Kikao.Sasa Nakifananisha Na Shule Za Kata Kama Mtindo Huo Watauendekeza.Pale Ni Sehemu Ya Academician Ambapo Wasomi Hujadiliana Kwa Hoja Na Siyo Kwa Mapenzi Ya Vyama Kama Huyo Mwenyekiti Wa Kongamano La Leo Sijui Anaitwa Nani? Sijui Anaelimu Gani? Na Amesomea Wapi Na Ufaulu Wake Ukoj

aibu kubwa sana leo kwa UDASA
 
hata mimi ameniudhi sana yule mwenyekiti. Lakini waelewe waTz wa leo sio wa miaka ya nyuma. tunaelewa fika wakifanyacho. madhara ya kumnyima lisu nafasi ya kusikilizwa na waTz yanaweza kuwa makubwa zaidi kuliko wangempa. Hasira.

Mwenyekiti Ameonesha Wazi Mahuba Yake Kwa Chama, Ushahidi, Mwisho Wa Mdahalo Kampa Steven Wasira Aongee,alipomariza Alitakiwa Tundu Lisu Aongee Kisha Wengine, Badala YaKe Akadai Muda Umeisha,watu Wakapiga Kelele Ndipo Akamruhusu Tundu Lisu Aongee,tulitegemea Kwa Sababu Ya Muda Angemariza Kama Alivyokuwa Anadai Muda Umeisha,badala Yake Akampa Nafasi Wiliam Lukuvi Ambae Alimpa Nafasi Kubwa Sana Akawaacha Wachangiaji Waliokuwa Meza Kuu Ambao Kimsingi Ndio Ulikuwa Muda Wao. Hy Ukiacha Wazungumzaji Inaonekana Aliwaandaa,kwa Sababu Alikuwa Anawateua Yeye,kwanini Isingekuwa Kama Siku Zote Kuwa Mtu Ananyoosha Kidole Anapewa Maiki? Kwa Mtindo Huo Chuo Kikuu Cha Dar Kimepoteza Sifa Kwa Kuruhusu Mwenyekiti Asiye Na Uwezo Wa Kutosha Kuongoza Kikao.Sasa Nakifananisha Na Shule Za Kata Kama Mtindo Huo Watauendekeza.Pale Ni Sehemu Ya Academician Ambapo Wasomi Hujadiliana Kwa Hoja Na Siyo Kwa Mapenzi Ya Vyama Kama Huyo Mwenyekiti Wa Kongamano La Leo Sijui Anaitwa Nani? Sijui Anaelimu Gani? Na Amesomea Wapi Na Ufaulu Wake Ukoj
 
wapi mdahalo mwingine mkuu❓

angali hapo chini kesho

mada ya mdahalo:

umuhimu wa kuzingatia mambo ya msingi sasa katika mchakato wa kupata katiba mpya

siku:

jumatatu tarehe 4 agosti 2014, ukumbi: Hoteli ya blue pearl ubungo plaza

saa:

mjadala utaanza saa 7 mchana kwa elimu ya mchakato na rasimu

na utarushwa live na itv na radio one kutoka saa 9 hadi 12 jioni

wazungumzaji wakuu:

mwenyekiti wa tume ya katiba jaji joseph sinde warioba,

dr. Salim ahmed salim waziri mkuu mstaafu

ndugu joseph butiku- mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya mwalimu nyerere

pamoja na,

mwatumu malale- mtumishi wa umma mwandamizi mstaafu

profesa palamagamba kabudi- shule kuu ya sheria, chuo kikuu cha dar es salaam

awadh ali said- rais wa chama cha wanasheria zanzibar

na,

humphrey polepole- kijana mdau wa maendeleo

mdahalo umeandaliwa na:

taasisi ya mwalimu nyerere

usikose kushiriki katika mdahalo muhimu
 
kwa mara ya kwanza mwigulu ameongea vitu vya maana na venye hoja.
 
Kampa Lukuvi, ndio UDASA kielelezo cha wasomi Tanzania, mdahalo bila maswali! Anasema Mzee Warioba kaleta hoja mpya, sijui kaileta leo saa 12?!

Mkuu usijali, kesho warioba ndani ya Nyumba itv kuanzia saa 9 hadi 12 ili kufafanua Baadhi ya mambo yanayopotoshwA. Dr salim, butiku, palamagamba, na wengine kadhaa watakuwepo. Never miss mkuu.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Shida Ya Watanzania Ukweli Hawautaki,sasa Kitendo Cha Kumpa Nafasi Mzungumzaji Mmoja Jukwaa Kuu Halafu Wengine Unasema Umeisha,hv Hapa Panahitaji Elimu Gani Kujua Mwenyekiti Kapwaya?
 
jamaa yuko vizur siku hizi tena kaanzia Mwanza mchakato wa bajet siku chache zilizopita kama atashiriki katika kutenda kile alichoongea siku ile kikamilifu kweli he's a good guy.

Japo kwa hints tu kwa tuliokosa kuangalia mdahalo au sehemu ambapo mh. Mwigulu aliongea, je aligusia vitu gani?
 
Back
Top Bottom