Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Hao vijana wa cc kablaf hawajpandishw kwenye uda walinyqesha viroba kqanza thn wakapewa ahadi kuwa ujira wao ni jioni akiongea wa ukawa ni zomeamqanzo mwisho akiong wa ccm hatakama ni pumba ni shangilia mwanzo mwisho.its too late tushaelewaga kitahmbo hila za macccm
Nani anakukimbiza? Andika taratibu kitu kinachoeleweka. Au unajitahidi kuongeza idadi ya posts? BTW najishangaa kureply posts zako za kipuuzi. Ngoja nikiweke kwenye ignore list yangu
 
Hahahahahaha, naisi mdahalo umepangwa na chama flank.Mbona mwenyekiti alisema tundu ndio wa mwisho na akajibu swali lake vizuri.Mbona lukuvi kaja kuchallange hayo majibu?
 
Kwa uelewa wangu mdogo ninafahamu kuwa wazungumzaji wa meza kuu ndio wanakuwa wazungumzaji wa mwisho sasa huyu muendesha mdahalo kafanya nini.
 
kijana maskini kuishabikia ccm akiwa na matumaini ya kupata angalau kdogo ni kero kupata tz tuipatayo..
Ghosryder10233930 said:
Genge la wahuni wa Lisu wanalipiza kisasi kwa kumzomea Lukuvi kabla hata hajaongea wameamua kutoka.
 
Ukiona CCM wametokea kwa wingi kwenye mdahalo kama huu basi ujue kuna kitu walipanga maana kiukweli bila ushabiki jamaa huwa hawawezi kuhojiwa kwenye mambo yenye utata mpaka itakavyoamuliwa vinginevyo, mfano mzuri mijadala mingi ilishapita na walikuwa wanaingia mitini na hata kipindi kile cha uchaguzi kupitia TBC wagombewa wao walikuwa wanahudhuria baadae wakawaingiza mitini
 
Achana nae mkuu njaa mbaya sana .
Kwa uelewa wangu mdogo ninafahamu kuwa wazungumzaji wa meza kuu ndio wanakuwa wazungumzaji wa mwisho sasa huyu muendesha mdahalo kafanya nini.
 
Hahahahahaha, naisi mdahalo umepangwa na chama flank.Mbona mwenyekiti alisema tundu ndio wa mwisho na akajibu swali lake vizuri.Mbona lukuvi kaja kuchallange hayo majibu?
Wanataka kukata matangazo kabla mjadala haujaisha,ili tusiwaone wakipakiwa kwenye UDA.
 
Kwa uelewa wangu mdogo ninafahamu kuwa wazungumzaji wa meza kuu ndio wanakuwa wazungumzaji wa mwisho sasa huyu muendesha mdahalo kafanya nini.

Chakushangaza anatumia zaidi ya dkk mbili walizopewa meza kuu.
 
Kwa uelewa wangu mdogo ninafahamu kuwa wazungumzaji wa meza kuu ndio wanakuwa wazungumzaji wa mwisho sasa huyu muendesha mdahalo kafanya nini.
Kampa Lukuvi, ndio UDASA kielelezo cha wasomi Tanzania, mdahalo bila maswali! Anasema Mzee Warioba kaleta hoja mpya, sijui kaileta leo saa 12?!
 
Kwa uelewa wangu mdogo ninafahamu kuwa wazungumzaji wa meza kuu ndio wanakuwa wazungumzaji wa mwisho sasa huyu muendesha mdahalo kafanya nini.
Yap ni kweli kabisa. Kwa uelewa wako mdogo ingetakiwa iwe hivyo. But kwa hali ilivyo kilichotokea ndio sahihi na ndio uhalisia wenyewe
 
Lukuvi na yeye ni zoba..
asee huyu jamaa ni real interahamwe!!
 
Back
Top Bottom