Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

To little too late. Tangu awali agenda siri ya CCM to scuttle mchakato wa Katiba mpya. Mission accomplished uchaguzi 2015 katiba inayopendelea CCM.
 
Kwa taarifa yako hata mkeo hajamsikia mana huyu muuaji damu bado zinamlilia hana point. Mbona sisi tumeona kaongea pumba au unalipwa wew
kuwa na staha na ustaarabu. Utoto hapa siyo sehemu yake
 
Wala usilalamike mkuu bora tanesco wamekuhujumu mana mdahalo wa hama hausaidii wana nchi kuhusu katba maana wengine hatuna chama

Wameogopa, umeenda kinyume namatarajio yao wenyechama... amaakweli myonge mnyongeni akiake mpeni.
 
Huyu sijui Kunambi anaongelea mambo ya CUF au CDM kuchukua nchi kama determinant ya muungano, anasahau kuwa miaka 25 iliyopita hakukuwa na CUF katika siasa kamailivyo CCm miaka 35 iliyopita. Possibly hivi vyama huenda visiwepo mika 60 ijayo lakini Tanzania itakuwepo.
jenerali Ulimwengu jana kasema miaka millioni ijayo Tanzania itakuwepo lakini watu wanaiangalia Tz ya miaka 10 tu ijayo. Sijui umbumbumbu wetu Watanzania umekuja miaka ya karibuni au ni tangu miaka ya 60!
 
vijana wa UDSM wako likizo ama?
kama waliomo hapo Nkurumah ni wana UDSM.
basi system ya elimu tz imekufa!!
 
Pls usitukane kwa kusingizia. Wanafunzi wote udsm wapo likizo na waliomo ndani sio wanafunzi wala wafanyakazi wa udsm. Waliomo nkrumah now wameletwa na mabasi ya uda huku nikishuhudia. Unawaonea bure wasomi wa udsm
 
Hii movie ipo chini ya Kijana mmoja anaitwa DANIEL ZENDA,alishamaliza chuo mda mrefu Lkn bado anakazania cheo cha Mwenyekiti wa Mkoa Wa Vyuo Vikuu!!Lakini "Injinia" Mkuu ni Dr Francis ambaye ndio Mwenyekiti Wa UDASA,kwa wanaokumbuka huyu yumo ktk Bunge la Katiba,la Siku alipowasilisha maoni yake ilizuka tafrani sana,huyu kaandaa mdahalo kwa maslahi ya chama cha Mapinduzi
DANIEL ZENDA ndiye aliyeratibu zoezi la kubeba vijana wa kwenda kuzomea na kushangilia...Vijana wengi wamekutania maeneo ya Buguruni na kupanda basi za UDA kwenda Nkurumah.
Huyu ZENDA ni mfuasi wa Wassira kindakindaki...hata vijana wangu wawili wa mtaani kwangu leo wameenda Nkurumah ili wapate hela ya vocha.Hapa ndipo tulipofikia kama Taifa...
Inaumiza sanaaa
 
Back
Top Bottom