Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

ukawa waunde serikali yao ya tanganyika, watanzania hatuitaki
 
hivi maswali mawili aliyouliza kitila yanajibika kweli?


Ndiyo.

La Lisu very simple mkuu.

Ukifaham mnachokifanya nikutoa mimba-mnafanya mauwaji, hutakiwi kabisa kushiriki utowaji mimba ukifahamu fika

unafanya mauwaji ukitaraji Ukifika mahakamani hakimu ataamua kama nikweli au hapana. Unaweza kuhonga na hakimu

akasema hukushiriki kufanya mauwaji bali ulifika kumsaidia mama aliyezidiwa siumesalimika japo unafaham fika ulishirika kuuwa.

Kesi umeshinda kwasababu umehonga na umemrubuni hakimu

-CCM inauwezo mkubwa wa kufanya madhila na ushenzi wa kuhonga nahivyo ikaonekana waananchi wameipitisha kumbe

uraghai na udanganyifu umetumika
(hila ya ccm imejificha hapa-Rushwa na utapeli)

UKAWA wasishiriki kupitisha upuuzi, watakuwa wameshiriki na kubariki Katiba mbovu - Inayoiva haraka huoza haraka
 
Mwigulu hata sijamuelewa bora msemaji wa ccm angekuwa wassira peke yake...
 
yaani nashangaa sana kuona wanafunzi wanaojiita wasomi wa chuo kikuu wakifanya ujinga kwa mdahalo unaoendelea udsm .

Wanafanya ushabaki na kuzomea kama watoto wa darasa la kwanza , hakuna maelewano,wanachokifanya,hawna hoja wanabaki kuzomea .
Kweli mwanafunzi ni mwanafunzi tu ,wote wana tabia za kitoto,hata uwe mwnanafunzi wa chuo kikuu.

Hakuna wanachokifanya hapo ,hawafikii kuonyeshea muafaka wowote bali ni yale yale tu ushabaki kama yanayoendelea kwenye bunge la katiba.

Ni bora wabunge wa bunge la katiba kuliko wanafunzi wanajiita wasomi wa chuo kikuu.


shame on you.

Mkuu Hao siyo madent ni vijana wa kitaa wameletwa kwa kazi hiyo.
 
Mwigullu kuna vitu hamiviongea vya msingi sana hasa anavyoona fedha billions of shillings zimetekea kwa kubishana tu...
 
umesahau kuwa ni juzi tu WASIRA aliwachachafia UKAWA watatu akiwemo LISSU, leo atakuwa na jipya gani mbele ya Wasira?

Upande wa Interahamwe team itakuwa nawachezaji 3 dhidi ya mwana Ukawa Tundu lisu,tulio mbali tutahudhiria kwenye Tv kumuunga mkono mzalendo mwenzetu Lisu

Safi sana kwakutupa habari tupo pamoja tutampa ushirikiano mwanaharakati wa ukweli Tundu.intaraham watakuja na umbumbumbu wao na ujinga Wakuwabeba mafisadi wakati wao wanateseka na minyoo

Msije anza kuzomea zomea sasa maana amkawii jamaa wa Bunda akianza vijembe mnaanza maana atakuwa anasaidiwa na Nape pia mtulie msikilize mambo na pia msikilize na Tundu Lissu

Kwa style hii katiba mpya kupatikana ni ndoto maana wananchi wanafanya ligi wakati katiba ni mwongozo bila kujali itikadi yaani imegeuzwa kama ilani ya vyama vya siasa
 
Mwanasheria wa UDASA anawachapa CCM,kutupa maoni ya waoni ya wananchi
 
Do! mimi huyu jamaa... hapana. hahisi harufu ya damu kwa watu wasio na hatia...
 
Kwa mara ya kwanza leo nimemsikiliza na kumuelewa koz hajasimamia upande mmoja na hivyo ndivyo anavyotakiwa kuwa kiongozi......kwangu mie nampa point 1 bado 99 zinamsubiri maana nyingi zimejikita kwenye mikakati yake ya chini kwa chini

Hongera kwa leo maana siasa sio ugonvi
 
Back
Top Bottom