habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
Umri umemtupa Mwl wangu Prof G Mpangala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri umemtupa Mwl wangu Prof G Mpangala
acheni propagandaaaa kwani kuna kosa wamefanyaa
Hatuwezi kuunga mkono mtu mgonjwa asiyejielewa kwake yeye cha maana ni fujo na matusi hatuko tayali kuambatana na mtu mwenye matusi na mfanya fujo.Mwana UKAWA na wakili msomi Kamanda Mh.Tundu Lissu atakuwa live Star Tv kuanzia saa 8 mchana katika mdahalo wa katiba uliondaliwa na UDASA.
Atakuwepo pia Dr. Kitila kama mwana UDASA na upande wa CCM atakuwepo Mh. Wassira.
My Take:
Wazalendo jitokezeni kumuunga mkono Tundu Lissu na wazalendo wengine
Kwani umesahu kuwa huyo prof ni mjumbe wa ukawa?Prof,kamaliza na serikali 3 ndo demokrasia ya kweli.
anaongea kwa kujiamini sana lazma maoni ya wananchi yaheshimiweProf Mpangala ni jembe ameonyesha kuwa yeye ni profesa halisi na ana impact kwa jamii
Weee ni -------- tu..huna hoja..mengi aliingia gharama kubwa ya kumleta mkenya jana,wakampa na tuition aongee nini?.
Mi nikashangaa mkenya na mipasho wapi na wapi,kumbe amepewe scene.
Hiki ndo umeandika nini???tundu lissu atarusha ngumi kafungua vifungo vya shati, ila tyson hamuwezi.