Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

A dying state is like a dying lamb after a butcher's sword has passed through the wind pipe
 
Prof Mpangala ni jembe ameonyesha kuwa yeye ni profesa halisi na ana impact kwa jamii
 
kamaliza prof Mpangala na sasa kasimama Dr Mkumbo naye anaonekana kero kwa mamuluki na faraja kwa upande wa pili
 
Mwana UKAWA na wakili msomi Kamanda Mh.Tundu Lissu atakuwa live Star Tv kuanzia saa 8 mchana katika mdahalo wa katiba uliondaliwa na UDASA.

Atakuwepo pia Dr. Kitila kama mwana UDASA na upande wa CCM atakuwepo Mh. Wassira.

My Take:
Wazalendo jitokezeni kumuunga mkono Tundu Lissu na wazalendo wengine
Hatuwezi kuunga mkono mtu mgonjwa asiyejielewa kwake yeye cha maana ni fujo na matusi hatuko tayali kuambatana na mtu mwenye matusi na mfanya fujo.
 
Kazi kwake Mkumbo sasa kuthibisha kwa wananchi juu ya tuhuma zake.
 
Back
Top Bottom