Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Ukumbi wa mkurumah umesheheni watoto mathalani wa darasa LA tano ambao wala hawasikilizi kinachoongelewa na watoa mada Bali wa hupiga makofi tuu

Hii ndiyo Tanzania
ccm wanakosea sana maana hao watoto wanakuja hawajui chochote ila wanaondoka wanamjua lissu na wanajua kuwa ccm ndio walio haribu mchakato ... they will never remain the same
 
Huyu naye anaweza akatolewa


Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
 
Huu ushakuwaaa ujingaaa aiseeee...Wanamzomeaaaa nini sasa....Watanzaniaaa sisi waaajabu sanaaaa
 
Sasa ni vurugu, baada ya mzee wa ccm kufumuliwa ccm wanalipiza kisasi kwa mzee makaid japokuwa makaid hajafanya kosa lolote.
 
asee ukiongea ukweli heshima yako inabaki palepale! mamluki waccm wanazomea hata kwenye ukweli
 
Ukitaka kumua nyani usimuangalie usoni. CCM wanafikiri sura ya Wassira itamponya! Tundu Lissu usimuangalie Wassira usoni maana unaweza kuingiwa na huruma.

BTW hivi msimamo wa ACT kuhusu katiba mpya ni upi Dr Mkumbo?
hii fasihi imeenda shule..
 
Back
Top Bottom