Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Huyu jamaa kamezesha maneno asee... alaf anatumia neno sisi vijana...
 
huyu jamaa anasoma faida za serikali tatu au anafafanua.. mi cmwelewi


Huyu anatowa hasara ya serikali tatu sio faida, yupo hapo kupotosha faida za serikali tatu......CCM nijanga la Taifa

Kijana kaandaliwa kwa hoja nyepesi za kiccm.
 
Huyu dogo alianza vizur mwishoni anaonyesha ni wa kijani na nani alimteua kuwakilisha vijana wa chuo
 
Alimwambiaje?

Warioba analipotosha taifa kwa kupeleka maoni yake ya hovyo kuitowa Tanzania kwenye serikali mbili nakuipeleka

kwenye federation


- presentation yake kwa maana ya appearance na mtazamo (kifupi ametumia maneno yaliyomkosea heshima jaji warioba)
 
Huyu anatowa hasara ya serikali tatu sio faida, yupo hapo kupotosha faida za serikali tatu......CCM nijanga la Taifa

Kijana kaandaliwa kwa hoja nyepesi za kiccm.
Acha tu tuendelee kukataa mabadiliko, Msumbiji 1 - 0 Taifa Stars na wote tunaendelea kuona ni sawa tu eti hataki kubadilika!

 
Jamani nawapa taarifa tu kuwa Timu ya msumbiji inaongoza goli moja lililofungwa na Josee Mara.
 
Haaah,haaah Kitila kamchamba Mwigulu,anajichekea tu na domo lake
 
yaani nashangaa sana kuona wanafunzi wanaojiita wasomi wa chuo kikuu wakifanya ujinga kwa mdahalo unaoendelea udsm .

Wanafanya ushabaki na kuzomea kama watoto wa darasa la kwanza , hakuna maelewano,wanachokifanya,hawna hoja wanabaki kuzomea .
Kweli mwanafunzi ni mwanafunzi tu ,wote wana tabia za kitoto,hata uwe mwnanafunzi wa chuo kikuu.

Hakuna wanachokifanya hapo ,hawafikii kuonyeshea muafaka wowote bali ni yale yale tu ushabaki kama yanayoendelea kwenye bunge la katiba.

Ni bora wabunge wa bunge la katiba kuliko wanafunzi wanajiita wasomi wa chuo kikuu.


shame on you.
 
Hawa vichaa Wa UKAWA tukitoka lazima tuwachape
 
Back
Top Bottom