everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Alimtukana Prof. Warioba
Alimwambiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimtukana Prof. Warioba
huyu jamaa anasoma faida za serikali tatu au anafafanua.. mi cmwelewi
wale vijana waliokodiwa wanaoneshwa hapa
Alimwambiaje?
vichaa wenu wanaharibu mjadala
Acha tu tuendelee kukataa mabadiliko, Msumbiji 1 - 0 Taifa Stars na wote tunaendelea kuona ni sawa tu eti hataki kubadilika!Huyu anatowa hasara ya serikali tatu sio faida, yupo hapo kupotosha faida za serikali tatu......CCM nijanga la Taifa
Kijana kaandaliwa kwa hoja nyepesi za kiccm.
Jamani nawapa taarifa tu kuwa Timu ya msumbiji inaongoza goli moja lililofungwa na Josee Mara.