Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mdahalo mzuri huu, unavutia jopo simwoni dada Angel!
 
Hivi washiriki ni Tundu tu na huyo jamaa mwingine au kuna wengine pia?
 
Mdahalo wa Rasimu ya Katiba ipi? Ya CHADEMA iliyochakachuliwa au hi ya taifa iliyowqpeleka Ikulu kunywa juice?

mkuu Lizaboni huko ccm nani huwa anazuia viongozi kushiriki midahalo ni chama au ni kiongozi tu anaamua.
hili swala kweli linanitatiza kweli
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli ccm hali yao co nzuri hadi mwenyekiti kawatabiria hali akijua kiongozi anayefuata ana wakati mgumu....mdahalo ndio haramu kwao...
 
Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu lissu na baadhi ya watu wengine wapo Itv live kwenye kipindi cha MDAHALO na Rasimu ya Katiba. Ndio muda huu tu mh Lissu ametoka kuongea.

Nawasilisha tuendelee kufuatilia!
 
Nashukuru mkuu nipo kwenye kikao nategemea updats
 
Mdahalo wa Rasimu ya Katiba ipi? Ya CHADEMA iliyochakachuliwa au hi ya taifa iliyowqpeleka Ikulu kunywa juice?
acha u k wewe mwanaume unae lelewa na mwanaume mwenzio angalia utaolewa kwa mara ya pili.
 
nipo mbele ya Tv this time,startimes ndiyo inanikera kama nini!!
Mkuu kumbe wabara hatuna uraia! Tupo kotekote kama mashoga. Yule jamaa toka Zenj kasema uraia sie wabara huenda ni Ughaibuni. Dharau nataka kupasua Tv,au niiache?
 
Mimi ningeshangaa kama mawaziri wangeshiriki make sioni umhimu wa huo mdahalo make rasimu ipo tayari na tume inafanyia kazi kwa kuchambua maoni sasa hawa wanafanya madahalo halafu maoni yao wayapeleke kwa nani kazi zingine za kijungunjiko kweli.
Mjinga mkubwa wewe watakulea wewe mpaka mkeo.
 
Wadau, kuna mjadala unarushwa na itv muda huu, njoo mpate updates!
 
Mwongozaji ni rose mwakitange, wazungumzaji wakuu ni tundu lissu na dr alien!
 
Sehemu ya kwanza ya huu mjadala ni kuhusu "tanzania ni nini"
 
Kimsingi, wazungumzaji wote wakuu wamekubaliana kuwa ni kweli kuwa tanzania is undefined. . . . .based on muungano wa tanganyika na zanzibar, as zanzibar still exists but tanganyika not
 
Wangese ccm wamekata umeme huku mbeya ngoja niwashe jenereta lazima nimuangalie lisu.
 
Back
Top Bottom