Pre GE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bwahaaa bwahaaaa nimecheka kwa nguvu vibaya, katibu mkuu wa ccm kama kawaida kaweka mpira kwapani. Jambo hili nililitegemea maana ccm hawawezi siasa za haki, bali wanategemea siasa za mbeleko.
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
Kushiriki mdahalo kuna mambo mawili:

1) kama huna akili na uwezo, unaenda kujiabisha na kukiabisha chama unachokiwakilisha.

2) ukiwa na akili na uwezo, unaenda kutengeneza heshima yako na kukiheshimisha chama chako.

LAKINI kwa ukweli kuwa:

"CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga"; hivyo tusitegemee hata siku moja CCM itashiriki mdahalo wowote ule kwa sababu wanajua uwezo wao unapoishia.
 
Itapendeza kuwekwe mdahalo kipindi cha campaign za uraisi.

Itapendeza zaidi Lissu awe mmoja wa wagombea na afanye mdahalo na Hangaya bila ya maswali kuwa scripted
 
Bwahaaa bwahaaaa nimecheka kwa nguvu vibaya, katibu mkuu wa ccm kama kawaida kaweka mpira kwapani. Jambo hili nililitegemea maana ccm hawawezi siasa za haki, bali wanategemea siasa za mbeleko.
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
ingekua ajabu ya dunia, eti daktari mzima wa falsafa Comrade Dr.Emmanuel Nchimbi kushiriki hicho kinachoitwa mdahalo usio na kichwa wala miguu, na hao vijanaa waliobebeshwa tu majina ya ukatibu mkuu kwenye vyama vyao, lakini kiuhalisia ni shadow SGs, hawana hadhi wala uwezo wa majukumu hayo kitaalamu 🐒
 
Itapendeza kuwekwe mdahalo kipindi cha campaign za uraisi.

Itapendeza zaidi Lissu awe mmoja wa wagombea na afanye mdahalo Hangaya bila ya maswali kuwa scripted
Waandaliwe na FFU kabisa siku hiyo.Kuna mmoja anaweza kupatwa na kigugumizi cha uzeeni.
 
Sijui kwa nini viongozi wetu wanaogopa midahalo.
 
Hata angekuwapo naona kusingekuwa na tija. Background ya sauti ni mwangwi mtupu, hakuna kinachisikika. Star TV mitambo yao ni ya HOVYO
 
A
Nasema hivi, nimecheka kwa nguvu vibaya. Hayo ndio madhara ya kufanya siasa za kutegemea mbeleko za vyombo vya dola, mkiitwa sehemu isiyo na mbeleko ya vyama vya siasa. Nani ana muda wa kufuatilia mkutano wa chama cha majizi, yaani watu wafuatilie mkutano wa kupanga watu kutekwa!
 
A
Nasema hivi, nimecheka kwa nguvu vibaya. Hayo ndio madhara ya kufanya siasa za kutegemea mbeleko za vyombo vya dola, mkiitwa sehemu isiyo na mbeleko ya vyombo vya lazima mkimbie. Nani ana muda wa kufuatilia mkutano wa chama cha majizi, yaani watu wafuatilie mkutano wa kupanga watu kutekwa!
 
Walipata barua ya uthibitisho wa kushiriki?
 
Ujinga huo, macho na masikio ya watanzania yanataka kufahamu kuhusu mambo kadhaa yanayoendelea nchini si mambo ya ndani ya chama chenu! Haya ya nje ambayo yangejadiliwa ni muhimu kuliko hayo ya ndani ya chama! Kiburi na jeuri vimewajaa!
 
A
Nasema hivi, nimecheka kwa nguvu vibaya. Hayo ndio madhara ya kufanya siasa za kutegemea mbeleko za vyombo vya dola, mkiitwa sehemu isiyo na mbeleko ya vyombo vya lazima mkimbie. Nani ana muda wa kufuatilia mkutano wa chama cha majizi, yaani watu wafuatilie mkutano wa kupanga watu kutekwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…