KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Tunamkumbuka sana kwa sauti yake nzuri na utangazaji wake mahiriUncle J huyo kutoka kanda ya ziwa R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamkumbuka sana kwa sauti yake nzuri na utangazaji wake mahiriUncle J huyo kutoka kanda ya ziwa R.I.P
Tuendelee kufuatilia Mkuu, labda yupoVipi Mbowe yupo ? Au na yeye anafuatilia kwa runinga ?🐼
Sikioni kilemba chekundu ukumbini!!!Tuko live, kila anakohojiwa Lissu siwezi kukosa.
Kwahiyo Mwamba ndio kachochora mdahalo? Dah
Nafuatilia kutokea nyumbani Mkuu.Sikioni kilemba chekundu ukumbini!!!
Mwamba kala Kona kama Bob Mazishi wa Kipigo cha Dunia 😂Hamna jipya hapo toka kwa Lissu ni mitusi na lawama sizizo na msingi.
Unaogopa kutekwa?Nafuatilia kutokea nyumbani Mkuu.
Vipi Mbowe keshafika au kaiga tabia za miccm kukacha midaharo?
Kwani naye yuko kwenye Mdahalo?
Hahaha......Jamani basi muoneenu hurumaTuko live, kila anakohojiwa Lissu siwezi kukosa.
Kwahiyo Mwamba ndio kachochora mdahalo? Dah