Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Moto utawaka leo, ila mbowe kwann kala njoro sasa jamani 🙆‍♀️😹😹
Mbowe kakatazwa na wafadhili wake asishiriki mdahalo wamemuahidi watahakikisha anashinda kwa kishindo
 

Attachments

  • IMG_5035.jpeg
    IMG_5035.jpeg
    84.4 KB · Views: 2
Lissu for presidency, uenyekiti wa CDM amepata tayari.
 
Mimi ni mgombea bora kwa sababu nina msimamo wa kuaminika, uadilifu wangu hauna mashaka, uadilifu wangu ni mkubwa, sinunuliki. Chama inahitaji mgombea asiyetiliwa shaka....Tundu Lissu

Odemba: Je mgombea Mbowe sio mwadilifu?
 
Kutakuwa na mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema leo kuanzia saa 3:30 usiku pale Star Tv.

wagombea wanaotarajia kuwepo kwenye mdahalo huo ni pamoja na jabali wa siasa, Tundu Lissu pamoja na Odero Odero.

Freeman Mbowe hatahudhuria mdahalo huo kwasababu ambazo zipo nje ya uwezo wake.

Msimamizi wa mdahalo huo atakuwa Chief Odemba mtaalam wa mahojiano.

Live updates zitakujia hapaView attachment 3204664
Live updates iko wapi?
 
Viongozi wenye ndimi mbili, huku wanatema moto huku wanatema barafu.
Nimecheka mno!
 
Lisu: Viongozi wa sasa wana ndimi mbilimbili, huku wanatema moto na huku wanatema barafu.
 
Mdahalo ni mzuri kwel kwel nataman ccm wangefanya hivi tujue mbichi na mbivu
 
Back
Top Bottom